Mke wangu ni mkorofi hatari

Fanyia kazi huu ushauri mtoa mada
 
🤣 🤣 🤣 ni kweli ,sasa unatakiwa kua na plan b apo
 
Pole sana mkuu kwa unayoyapitia hamna haja ya kujiua muombe Mungu sana akusaidie pia jifanye mjinga we jishushe tu kwake hakika atabadilika.
 
Kweli waukae, Kuoa Wajita,Waikizu,Wakwaya na baadhi ya kabila nyingine za Mara ni kujitakia matatizo. Midomo,uchonganishi,kuropoka,ukorofi,uchepukaji,uzinzi,kesi za ngono,kutokuwa na uaminfu ni sehemu ya maisha yao
 
Endelea kutufunulia mkuu wengine hatukujua Haya Mpaka yametukuta
Kweli waukae, Kuoa Wajita,Waikizu,Wakwaya na baadhi ya kabila nyingine za Mara ni kujitakia matatizo. Midomo,uchonganishi,kuropoka,ukorofi,uchepukaji,uzinzi,kesi za ngono,kutokuwa na uaminfu ni sehemu ya maisha yao
 
Tabia za wanawake kabla hawajaolewa huwezi kuzijua maana wanakuwa hawana mume wa kumfanyia vitimbi.
 
Mke mmoja hudumaza akili...
 
Anaogopa kurogwa na kuharibiwa maisha.
Nukuu "anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji"
ha ha haa hapo ameshikwa pabaya!
 
Kimsingi anayeandaliwa kwanza ni mwanamke na baada ya tendo na kuvuta pumzi ni zamu ya mwanamke kumuandaa mwanaume kwa wale wa low battery.

Nimefanya utafiti usio rasmi makahaba wako vizuri sana kumuandaa mwanaume na ukiwazoea hawa huwezi kuacha.

Nyumba nyingi tatizo ni mazoea na hasa wanawake wengi wanaamini wao wanapaswa kuridhishwa kumbe hata wanaume wanahitaji kuridhishwa pia.

Yawezekana hujaowa huwezi kujuwa timbwili la ndani ya nyumba, unaweza kuwa vizuri kitandani na mwanamke akiamuwa kukufanyia vitimbi anakwambia ajisikii na analala na nguo zake.

Solution ya muda dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzanke tu wala hakuna haja ya kuumiza akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…