Mke wangu ni mkorofi hatari

Mke wangu ni mkorofi hatari

Asome hii ataelewa. Wengine mmetusaidia kueleza.
Mpuuu kabila mjita!! pole sana mkuu hiyo siyo kabila ya kuoa. Ni kweli wanawake wa kijita wengi ni wakorofi, waongo na wachonganishi hiyo ni asili yao hawafai. Nilioa mjita nilijuta ilibidi nimkimbie nikamuachia nyumba nikaenda kuanza upya. Usipofanya uamuzi wa haraka utapata shida sana na kama siyo kupata maradhi ya moyo basi 'stroke' inakuhusu.
 
Habari wana JF.

Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.

Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.

Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.

NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee

Aaah Mkuu.kwani ilikuwaje ukamua kumuoa na tabia hizo zote? Kama ni mkristo ukishafunga ndoa huwa haivunjwi tena,labda kifo au kwa uasherati.

Otherwise nashauri UMTONGOZE upya
 
Mkuu yanayokukuta ,ndiyo niliyoface mwaka 2008, shkran kwa Mungu niliwwza kukimbia nikiwa na miguu, tulikua kwenye uchumba, wajita waache tu Joy kidogo anitoe roho. Muhimu sali na Mtegemee Mungu, toka huko ulipo kama unataka maisha yako yawe marefu.
Mkuu sema na wewe maana wengine yametukuta hata Mpaka hatujielewi
 
Akumulikaye mchana usiku atakuchoma,kama ametishia kukuroga wewe muue kabisa.
 
Huwa mnatuonaga wajinga na wazembe sisi tusioa eehhh ?? [emoji16][emoji16][emoji16]

Pole Sana

Yaani pesa zangu . Nifanye kazi mie nimlishe na kumuhudumia mtu Huduma zote halafu Bado anitese !!!!!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Huo ufwala siufanyi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Jamani..bimkubwa tena!!..msitufanyie ivo Jamani..tuvumiliane si ndiyo Shida na Raha au mnasahau viapo
Viapo vya nyoko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Binadam mwenzako anakunyima Amani ? Piga chin Tafuta mzgo mwingine ..na wenyewe ukizingua piga chin..! Mpka upate wa kufanana nae
Ndio ndio [emoji16][emoji16][emoji16]
 
We Jamaa fala sana ...Usilete habari za shetani na Mungu.... Kumtupia Tuu lawama mkeo wakati hujazungumza Shida zako.
Ukute hata Utamu humpi..
Kimoja chali...Tena chenyewe Cha sekunde imeisha unanakoroma Kama Mashini ya kusaga.
Husimami Kama mwanaume kwake Unategemea Nini.
Fala wewe
Kmmmk.

Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuwatupia lawama wanawake ati wamebadilika wakati sisi wanaume muda mwingine Tuna Mambo ya ajabu mnooo....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji16]

Jf mnanini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
In this World a woman's happiness lies in a Man's Leadership, Authority and Dominance na asipoipata hiyo Furaha matokeo yake ni Kua ivo unavyomuona !!.
Mtoa mada nakuhakikishia ili jambo Hata itokee upate mwanamke mpole atakusumbua sana tu and it simply because you only want a woman to mother you ndio maana unalalama kama mtoto na unahitaj akuishi kama mama yako mzazi!.
Ndo nilikua nasubiri kuona comment yako. Hapa uko sahihi kabisa.
 
Heri yako maisha yamekunyokea.lisipo kupata la kwangu litakupata lingine.umekuwa na matusi kama mke ninaye mlalamikia.au mmezaliwa pamoja? Mimi najua humu watu ni werevu na wenye busara kumbe kuna wapuuzi kama wewe!
Dahhh haya maneno nilaana tosha [emoji26][emoji26]
 
mpende,mpende na mpende, muoneshe unampenda waziwazi hasa mbele za watu, siku anayokuuzi zaidi mletee zawadi, mkumbatie na umwambie jinsi gani unampenda mpaka ukamuoa ikifuatiwa na outing, show her etra love hasa nyakati anazokukwaza, love is the best medicine, you'll thank me later
Thubutuu [emoji3][emoji3]
 
Ukute tatizo uliliona kabla ya ndoa lakini ukakomaa ukiamini atabadilika..ila package ya mkeo nomaa[emoji3]
Pole sana.. Endelea kuvumilia huku ukimuomba Mungu mkeo abadilike
Hawezi badilika huyu.
 
ndo mtego ulipo apo sasa
Hayo uliyo yaongea yanahitaji umfanyie mwanamke ambaye Ni mstaarabu. Ana high Iq ..Yuko very emotional . ana hekima na utiii ..lakini sio Hawa kina mwajuma nipe itakula kwako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hao pindi unapo waonyesha upendo wao huwa wanatafasiri tofauti wanakuona boya yaani umekwama kwao hauna ujanja bwege mtozeni jinga la mwisho kabisa [emoji16]
 
Ukute tatizo uliliona kabla ya ndoa lakini ukakomaa ukiamini atabadilika..ila package ya mkeo nomaa😀
Pole sana.. Endelea kuvumilia huku ukimuomba Mungu mkeo abadilike
Eti 'package' 😂😂😂
Watu mna maneno!
 
Back
Top Bottom