Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
[emoji849]Muue!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849]Muue!
Habari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wakwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.
Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.
Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.
NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee
Mkuu unampa hio sababu ya kupiga vyuma tu [emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe kuwa mkorofi
Jiwe juu ya jiwe
Kama huwezi ukorofi jaribu kumnywea pombe ,umpe makavu liveee
"Package" ya hatariUkute tatizo uliliona kabla ya ndoa lakini ukakomaa ukiamini atabadilika..ila package ya mkeo nomaa😀
Pole sana.. Endelea kuvumilia huku ukimuomba Mungu mkeo abadilike
😂😂 Maangamizi ya hatari..kwa mwanamke wa namna hiyo msife tu mapema..!!?😂😂😂"Package" ya hatari
Mawazo ya wanaume yanatofautiana Sana.😂😂 Maangamizi ya hatari..kwa mwanamke wa namna hiyo msife tu mapema..!!?😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muue!
😀😀😀😀 Jamani..bimkubwa tena!!..msitufanyie ivo Jamani..tuvumiliane si ndiyo Shida na Raha au mnasahau viapoMawazo ya wanaume yanatofautiana Sana.
Binafsi mke wangu akiwa mtata nampandisha cheo awe Bi Mkubwa. Anayepaswa kuwa mmoja ni Mama Mzazi, mke akiishi kwa kutulia atakuwa mmoja. Akileta mawenge nampandisha cheo.