Mke wangu ni mkorofi hatari

Mke wangu ni mkorofi hatari

Na wewe kuwa mkorofi

Jiwe juu ya jiwe

Kama huwezi ukorofi jaribu kumnywea pombe ,umpe makavu liveee
 
Habari wana JF.

Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wakwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.

Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.

Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.

NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee

Kua mpole.... ulioa kwa hiari yako? Ulilazimishwa? Au ndo kwa uchawi kama unavyodai anajitapa
 
Tatizo pia hawa wanawake hamuwazalishi ipaswavo, ukiingia tu kwenye ndoa jambo la mwanzo mzalishe kama watatu ivi kama nyote wawili mko na uzazi imara, unapomzalisha mwanamke kuanzia watatu hizo dharau hakuletei labda uwe na tabia chafu sana
ambazo zitamfanya awe hana jinsi akuache tu, msiwaone wajinga wapemba kuwazalisha wake zao watoto wengi maana ile ndio ndoa na heshima inakuepo na hawezi kukusumbua kipuuzi
 
Kwa uzoefu wangu,Mme na mke mkishaanza kupeleka mashitaka Mara kwa wazazi,kwa balozi sijui wazee Wa kanisa au sijui kwa jirani,hapo hakuna ndoa ni michosho tu,Mimi naamini kuwa ikiwa mke wangu nilimtafuta mwenyewe na tukaelewana sisi wawili hadi kufikia kuoana hivyo na mambo yetu yatamalizwa na sisi wawili,majirani ,padri,mchungaji na balozi kamwe hawezi kuwa suruhisho la ndoa


Hivyo kama mlitafutana ninyi wawili,mnawajibu Wa kuyamaliza ninyi wawili,uamzi ni wako kumeza au kutema,lakini pia bora pengo kuliko jino bovu.

Kuhusu swala la kukuroga hapo anakutisha tu,kumuua mtu au kumroga ni kazi ngumu sana kuna vitu vingi sana yapaswa vikamilishwe ili kutimiza lengo,na nakuambia hawezi kwani inavyoonekana wewe ni muoga Wa nguvu za Giza hivyo anatumia uoga wako kukuendesha,hakika nakuambia utapata tabu sana.

Mwisho ,Maisha ya duniani ni mafupi sana,Fanya uwezavyo uyaishi kwa furaha,kamwe usiruhusu mtu awaye kuvuruga na kuingilia amani ya Maisha yako na kukufanya uteseke ,fukuza oa mwanamke mwingine,akileta jeuri fukuza oa mwingine,hadi siku ya kifo chako,lengo ni kuhakikisha unaishi Maisha ya furaha,babu Yangu alioa Mara tano,mke Wa kwanza alifukuza hivyo hivyo Wa pili ,tatu,nne akaja kufa akiwa na mke Wa tano,lengo lake ilikuwa ni kutoruhusu huyu kiumbe mwanamke anampa tabu maishani mwake.

Ova.
 
Ukute tatizo uliliona kabla ya ndoa lakini ukakomaa ukiamini atabadilika..ila package ya mkeo nomaa😀
Pole sana.. Endelea kuvumilia huku ukimuomba Mungu mkeo abadilike
"Package" ya hatari
 
😂😂 Maangamizi ya hatari..kwa mwanamke wa namna hiyo msife tu mapema..!!?😂😂😂
Mawazo ya wanaume yanatofautiana Sana.

Binafsi mke wangu akiwa mtata nampandisha cheo awe Bi Mkubwa. Anayepaswa kuwa mmoja ni Mama Mzazi, mke akiishi kwa kutulia atakuwa mmoja. Akileta mawenge nampandisha cheo.
 
Mawazo ya wanaume yanatofautiana Sana.

Binafsi mke wangu akiwa mtata nampandisha cheo awe Bi Mkubwa. Anayepaswa kuwa mmoja ni Mama Mzazi, mke akiishi kwa kutulia atakuwa mmoja. Akileta mawenge nampandisha cheo.
😀😀😀😀 Jamani..bimkubwa tena!!..msitufanyie ivo Jamani..tuvumiliane si ndiyo Shida na Raha au mnasahau viapo
 
Mkuu niseme tu kuna mengi katika mahusiano yako zaidi ya haya uliyoyaeleza.

Sikuhizi nimekuwa muoga kutoa kauli za hukumu kwa kusikiliza upande mmoja.

Tayari hushajua matatizo ya mkeo ni hatua nzuri kuelekea kuyatatua.

Swali ni, kwanini awe hivyo kwako??

Kwanini nafasi yako kama MWANAUME na KIONGOZI wa familia imepuuzwa mpaka mkeo kufikia kukutishia??

Umemfanya nini??

Majibu ya hayo maswali yakipatikana itakuwa rahisi kujua nini cha kufanya.


Kumbuka kile unachompa mkeo huwa kinakurudia katika namna tofauti.

Mpe mbegu atakuletea mtoto, mjali na yeye atakujali na kukupenda zaidi, mtengenezee mazingira ya kutokuheshimu na yeye atakuchukulia poa tu, mpe stress atakurudishia vita ya tatu ya dunia ndani ya nyumba.
 
Kwa tabia hizo ulizoeleza ni dhahiri yuko hivyo kabla hata hujamuoa na ulifahamu hilo otherwise umekutana naye saa mbili asubuhi mkafunga ndoa saa saba mchana siku hiyo-hiyo.

You can not teach the new trick to an old dog.
 
Binadam mwenzako anakunyima Amani ? Piga chin Tafuta mzgo mwingine ..na wenyewe ukizingua piga chin..! Mpka upate wa kufanana nae
 
We Jamaa fala sana ...Usilete habari za shetani na Mungu.... Kumtupia Tuu lawama mkeo wakati hujazungumza Shida zako.
Ukute hata Utamu humpi..
Kimoja chali...Tena chenyewe Cha sekunde imeisha unanakoroma Kama Mashini ya kusaga.
Husimami Kama mwanaume kwake Unategemea Nini.
Fala wewe
Kmmmk.

Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuwatupia lawama wanawake ati wamebadilika wakati sisi wanaume muda mwingine Tuna Mambo ya ajabu mnooo....
 
Yaani mimi mtu akinitishia uchawi na mpasua yeye naenda nampasua na uyo miomba yake nayeyote atakayeniuliza kuhusu hilo nayeye nampasua . Siamini uchawi kabisa japo upo ila siuamini kabisa . Ukiamini usoro utateseka sana
 
Back
Top Bottom