Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Nazo hatojibu itakua amejua nampenda sana sasa ananifanyia vitimbwi kama jamaa hapa. Wanawake hawa!
Ungekuwa unampenda kama unavyodai hapa, lazima ungehakikisha kila kitu kinakuwa sawa baina yenu..! Wewe si ndiye mwanaume!? Huitendei haki nafasi yako kwake trust Me..
 
Siyo wewe niliona pahala umesema umeoa?? Kama si mwaka Jana basi juzi.!
Enwei, wacha nisiamini ya soshomedia, ila ninaamini umeoa.!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sheeesh!!!! Mimi huyu !? You can't be serious. Me bado Sana
 
Wala sio fala. He is a good man na mke wake atakuja kujuta sana akimpoteza.

Mapenzi yanaweza kumchanganya mtu yeyote cha kufanya ni kumtanguliza Mungu katika kila jambo praying our hearts dont fall into the wrong hands.
Huyo unayemjibu comment yake inaonyesha tu hayupo kwenye ndoa wala hayajui maisha ya ndoa,hapo yupo Sebuleni anasubiri tu kengele ya Chai na Boflo.
 
Maisha haya jamani, unaweza ukawa unanyonya papuchi kijana wa watu,unanyonya hadi tigo kijana wa watu,unasimamia shoo kijana wa watu, unahonga visenti kijana wa watu na bado ukaachwa vizuri tu [emoji28]maisha haya ukiwa mbinafsi unaishi kwa furaha sana
 
Hahahahaaaaa. Roho ya hivi inapatikana chuo gani?
Mkuu kuna wazee wetu home hata paka akilia nje mtatoa maelezo kuanzia mama na watoto wote.
Mnahema tu mwamba akiwa hayupo..na hapo mtu hapigwi...
Mama anakuleza wazi huu ujinga wenu Mzee akijua nimeisha nyie watoto ,baba akijua nimeisha mie na ndoa yangu.

Nakueleza kuna familia nilienda kutembelea 2006 nikasema sitokuja kutembelea kwa watu tena,Yule Baba alikuwa Mkali sijawahi ona ..siku ya pili Mama mwenye nyumba alinieleza kuwa Mwanangu tulijisahau kumweleza Baba ujio wako.Ikabidi nisepe kesho yake.

Huku sisi tunajua wote yule Mama alikuwa mkali mno lakini kumbe mume wake ni Hell fire...na wapo mpaka leo hii watu wazima.
 
Mzee Hadi ufanye yote hayo kwa jitu lenye meno 32 inamaana hauna mambo mengine ya kufanya alafu ndio nyie mkifika uzeeni mnatia huruma kisa eti nguvu zenu mlizielekeza kwa wanawake badala kwenye Mambo yenu kuweni Kama kipanya
Kipanya kafanya nini mkuu? Tujuzane ili tujifunze please.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Maisha haya jamani,unaweza ukawa unanyonya papuchi kijana wa watu,unanyonya hadi tigo kijana wa watu,unasimamia shoo kijana wa watu,unahonga visenti kijana wa watu na bado ukaachwa vizuri tu [emoji28]maisha haya ukiwa mbinafsi unaishi kwa furaha sana
Ndivyo ilivyo, ukijifanya we' ndio wewe, sijui u romantic kwa sana, mara care za kijinga jinga lazima uumie mamaeee

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hongera yao!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa unampenda kama unavyodai hapa, lazima ungehakikisha kila kitu kinakuwa sawa baina yenu..! Wewe si ndiye mwanaume!? Huitendei haki nafasi yako kwake trust Me..

Basi sawa bdae namuungia waya tuyajenge

 
Upo majuu mkuu.... Na aliyekuambia uoe ndio aliyekufelisha

Unasubiri ujinyonge ndio ujue wakati wa kumuacha umefika.!???

Afu kuwa kidume... Msimamo ndio nguzo...
 
Mkuu pole sana, kitu cha kwanza nakushauli kama unaishi urope wazo la kuondoka nyumbani ama talaka litakuingiza kwenye msongo wa mawazo makubwa ama kuishia kuwa mlevi,wanawake wengi wana advantage ya kusaidiwa na hizo serikali na upande wa pili kuku panish mzazi wa kiume.
Utawalipia watoto wako kitu kinachoitwa child maintenance kwa miaka yote hadi watimize miaka 18, sasa mkuu jifanye fala ukiwa mjengoni wakati una support wanao, mwisho nakuomba kuanzia leo jitahidi kujiwekea akiba yako, watoto mkuu hasa ulio wazalia ulaya sahau kabisa kuwa watakujali,mwisho jitahidi u save pesa bila mkeo kujua kama utakuwa una wezo kidogo nunua nyumba ndogo pale kigamboni kwa Ayoub toa deposit lipa mdogo mdogo bila huyo mkeo kujua mwili ukichoka chomoka ndio ushauli wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…