Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Huu ushauri wako hata wanawake walio ndoani wanaolialia wangeufuata ingekuwa poa sana.
Hata wao inawahusu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ushauri wako hata wanawake walio ndoani wanaolialia wangeufuata ingekuwa poa sana.
Mi hata wa kuniroga hayupo labda nijitenge na Yesu. Kazi kazi. HahahahaaaaaHivyo vyote haviwezi kuathiri msimamo wangu. Labda nilogwe tu.
Oooh nimeteleza, sorry na ahsante kwa kunikumbusha hili.Mkuu acha dharau za ki jinsia hao ni mama zetu ukianza kuwa dhalilisha, unadhalilisha mama ako shangazi bibi yako na wanao toa ushauri kama unao tu.

Mimi ni muhanga wa hili ila mwishoni huwa nageuka "surprise"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Africa ukiwa loyal/gentle katika mahusiano hawa gals wa kiafrica Wana kuchukulia kuwa boya yaani haujiwezi kwake umekufa umeoza ,kumbe masikini hiyo ndio inborn character yako [emoji16][emoji16]
Mkong'oto achana nao mkuu. Akizoea tu,umeisha. Umiza kichwa buni mbinu nyingine mujarabuSio wote, mimi ni mkong'oto kwenda mbele, nashangaa wanaopigwa na wake zao, eti wanawaogopa khaaa! Period!!!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Huyu kashachoka kusikia thread za malalamiko ya hivi. Kwamba kama mwanamke anaonesha unyenyekevu wakati anataka ndoa halafu akiipata ndio anaanza timbwili basi hapo solution ni "uchumba sugu" tu. Hahahahaaaaa. Watu wana ma-idea hatariUnahisi hili ndiyo suluhisho la matatizo rafiki yangu.!?
Umeoa hearly..?
You are welcome.Unapotowa malalamiko Mara kwa Mara utaitwa mlalamikaji... Watu wapo bize na Yao si sana ku kujali wala kuingilia mambo yako..... MUNGU akubariki sana kwa ushauri wako.... Nilikua na hofu ya Bure tuu kuhs watoto ila nikiwaza naona pia nikiendelea Hali hii itawagusa watoto pia.... Be blessed my sister for ur advice [emoji120][emoji120][emoji120]
Haha...!
Pole sana..! halafu ukaharibu wapi.??
Hahahahaaaaa. Roho ya hivi inapatikana chuo gani?Weka gubu la watts 5000 panasonic...
Ukiingiaa ndani ukitoka anapumua..hata ukiona inzi unaulizia huyu ni uzao gani?
Hata yeye mwenyewe ukiona unywele wake unaweza anzisha mjadalaa ambao mpaka mshipa unawatoka wote.
Bampa kwa bampa fanya hivyo miezi mitatu.
Ongea kama Chiriku mzee na maneno makali zaidi yake...kuwa na roho hata Shetani na Malaika wakikaa waulizane kwamba huyu kiumbe ameumbwa na Mungu wetu au kuna pahala katokea..
Legeza uone uone moto wale..la sivyo achia Nyumba.
Hata mimi mke wangu ni muongeaji sanaYou are welcome.
Nyie ndo wanaume bwana. Msiache malezi yetu mabovu au tabia zetu mbovu na kutojielewa kuwafanya kupoteza uanaume wenu.
Mwanamme abaki kuwa mwanamme jamani.
Hii hata mi ningeapply. Yaani kazi kaziThread 'Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo' Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo
It seems you are a good and loving man.
Kosa lako lilikuwa kumuonyesha huyo mwanamke kwamba unampenda sana. Atakuwa ameshakutikisa mara nyingi sana kukupima mapenzi yako na mara zote alijiridhisha hufurukuti kwake.
Cha kufanya mpe adabu kali sana ya kiume.
Si anataka kuondoka, muache aondoke. Si anataka kuondoka na watoto? Muache aondoke nao. The minute she sets foot then usipokee simu wala kujibu message zake.Cheza na timing ya kazini kama umeajiriwa. Chukua likizo ondoka kwenye nyumba yenu and if possible hama.
Atakuonyesha drama hujawahi kuona, atatafuta watu atumie simu zao kuongea nao, ataenda kwa wakwe atatafuta viongozi wa dini we kausha wewe just be patient na ujikaze. It is what it shall take to save your family.
Wewe ni mwanamme bana. Watoto wanakua hao. Wanaona unavyonyanyasika kisa mama yao. Unadhani watakuonaje?
Unadhani watakuwa watu aina gani?
Atarudi tu na atarudi na adabu zote na mdomo utatokomea kabisa.
Tatizo ni UBISHI..Poleni sana wanaume..!
Ni nini kinaendelea mbona malalamiko ya wanaume na mahusiano yao yamekuwa mengi mno MMU kuliko wanawake.!?
What's going on exactly...!??
Tatizo unampenda jirani kuliko nafsi yako badala ya kumpenda kama nafsi yako. Leo ukifa kwa stress watoto ndio hawatakuona tena asilani.Habar za saa hizi jameni...
Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in brief.
Nimejaribu kumsihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila nawahurumia watoto wangu 2 they might suffer... Ila nimefikia hatua ya ku surrender kiukweli... Ila nahofia watoto nilimuomba watoto waende kwa bi mkubwa alikataa.
Hayupo supportive kwa kila ninacho fanya.. She hates all my siblings kiukweli nimechoka ila nikiona watoto walelewe bila baba Yao huna Ina ni stress sana nimewekeza mapenzi yangu kwa watoto.
Watoto wana: mmoja Ana 4years. Mwingine 2... Asante!+ na Mungu awabariki[emoji120][emoji120]
=======
Soma zaidi:Mke wangu ni mkorofi hatari
Kuongea sio shida kama hana mdomo mchafu wala mjeuri.Hata mimi mke wangu ni muongeaji sana
Wanaume wenzangu nadhani thread hii ifungwe kwa kuuchukua huu ushauri baab kubwa kabisa. Tuache tabu za kujitakiaThread 'Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo' Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo
It seems you are a good and loving man.
Kosa lako lilikuwa kumuonyesha huyo mwanamke kwamba unampenda sana. Atakuwa ameshakutikisa mara nyingi sana kukupima mapenzi yako na mara zote alijiridhisha hufurukuti kwake.
Cha kufanya mpe adabu kali sana ya kiume.
Si anataka kuondoka, muache aondoke. Si anataka kuondoka na watoto? Muache aondoke nao. The minute she sets foot then usipokee simu wala kujibu message zake.Cheza na timing ya kazini kama umeajiriwa. Chukua likizo ondoka kwenye nyumba yenu and if possible hama.
Atakuonyesha drama hujawahi kuona, atatafuta watu atumie simu zao kuongea nao, ataenda kwa wakwe atatafuta viongozi wa dini we kausha wewe just be patient na ujikaze. It is what it shall take to save your family.
Wewe ni mwanamme bana. Watoto wanakua hao. Wanaona unavyonyanyasika kisa mama yao. Unadhani watakuonaje?
Unadhani watakuwa watu aina gani?
Atarudi tu na atarudi na adabu zote na mdomo utatokomea kabisa.
Wengi sanaa wanaumia moyoni ila hawataki kusema.Usisumbuke na hizi nyuzi chache...