Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Pole mkuu,

Ukiona mke unaishi nae vizuri tu, kisha baadae anabadilika na kuwa na kisirani cha hivyo, ujue anakereka na kitu fulani toka kwako.

Pengine umeyumba kiuchumi kuliko ilivyokuwa huko nyuma au amepata mtu anaemkuna vizuri kuliko wewe, hivyo na mapenzi huwa yanahamia kwa mwingine. Hivyo namna nzuri ya kutatua hilo tatizo la mkeo ni wewe kubaini tatizo na kulitatua utaona huo ukali wake unapotea ghafla.

Wanawake huwa wanapenda mtu kwa hisia, na hizo hisia zinapokosekana wanakuwa hivyo.
[emoji375][emoji375][emoji375]
 
Shida inaanzia hapa, mlionesha kujilegeza kwa wanawake, sisi ni viumbe complicated sana, tuko wired tofauti mno na ninyi.!
Huwa tunaanza kuwagusa kidogo kupima kina cha maji, ukilia lia tunazamisha miguu yote tunatembea, shauri yenu.!

Mh I see 🤔
 
Watu mna moyo wa uvumilivu sana aisee, nikigundua hata jirani yangu kama ni mtu mgomvi mwenye mdomo, napiga block.
Nime mshangaa Sana aisee kitu ambacho siwezi katka maisha no violence panapo violence lazima nikimbie
 
Wapo africa misipo Africa ... Mi kitambo sipo Africa nadhani hi ndo changamoto kubwa sana inasabisha mana a naona Sina pakuchomokea.... Mana huku loss dogo umenyanganywa kila kitu aisee!!! Hata watoto unaweza kupigwa ban nao..... Niki plan nimuachie watoto naona wata sumbuka saana.... Nilimwambia turudi nyumbani hataki... Yeye yende hataki.... Ni mtihani kiukweli....
Huyo sio mkeo Tena ni mke wetu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Financial freedom kwa baadhi ya wanawake imekuwa mwiba mkali sana kwa wanaume...

Una mke anatengeneza 2m kwa mwezi, wewe unatengeneza 800k kuna mambo mawili hapo; either inferiority complex itakumaliza, or else mke asione kama hela ina thamani zaidi ya mahusiano na ndoa yake.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pole sana mkuu, binafsi nimeshindwana na hao watu na nimeamua kulea watoto wangu 3 peke yangu sema wangu ni wakubwa.
Bwana wanawake wanaopata bahati ya kuolewa huwa wasumbufu sana sijui ni kwanini, kila ukijaribu kuwa mpole anazidi kukupanda kichwani, ukimuomba msamaha ndio balaa kabisa anakuchukulia dhaifu. Kero zinakuwa nyingi ndani mpaka unahisi muda wowote unaweza kufa kwa kiharusi.

Mimi watoto wangu siwezi warudisha kijiji nakomaanao hapa mjini coz ndio furaha yangu, nipo kwaajili yao kila ninachopambania ni kwaajili yao so siwezi wapoteza mpaka kieleweke.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Africa ukiwa loyal/gentle katika mahusiano hawa gals wa kiafrica Wana kuchukulia kuwa boya yaani haujiwezi kwake umekufa umeoza ,kumbe masikini hiyo ndio inborn character yako [emoji16][emoji16]
 
Ni ngumu sana hakika, Nini kinapaswa kifanyike sasa kaka mkubwa maana hali inazidi kuwa mbaya kila uchwao..!
[emoji16][emoji16][emoji16] tumeshachelewa , Maendeleo pia Yana faiada na hasara zake , imagine hapo ndio watu tumepitia ktk mafundisho ya kiimani ambayo yapo kwaajiki ya kuwaandaa watu kuwa watiiifu na wanyenyekevu lakini balaa lke ndio Kama Hilo unalo liona ndoa zimekua Jela ,,

I think it's better watu waache haya mam o ya kuoana oana Ndio amani itakuepo tuwe tuna zalishana tu then kila mtu aishi kivyake. No stress at all
 
Wewe kama haupo Africa hiyo goma huiwezi kuicheza, wewe endelea kulinda haki za wanao tu......na huku unalia kimya kimya tu.
[emoji16][emoji16][emoji16]naked truth
 
Mkuu ww na mm kesi yetu naona Kama zinafanana tuHawa viumbe sijuu wanatakaga nn .

Baada ya kuishi nae kichuo chuo mwaka wa mwisho alipata mimba na akaja hom akajifungua salama tu Sasa shida Ana mdomo Kama chiriku much know analotaka ndo analotaka nilipanga nikamvishe Pete ili tuishi lakin kwa hz dalili nataka nighairi kila kitu kishakua planned na baadh ya vitu Kama mashuka. Sijui vitenge nshanunua kwa ajili ya kupleka ukweni lakini kwa dharau anazoonyesh naona hatufik ppte nampenda Sana lakin too much is harmful nampenda Sana binti yangu ana miez 3 tu Ila nasikitika naenda kukaa mbali nae na ndo wa kwanza Ila kwa tabia ya huyu Dem kesi za kuchomana visu naona bado hazitaisha nchini plan yangu ni kupiga chin na kufanya yangu yani kamenisababisha nimeachana na mtu aliekua real .. Mambo n mengi kuliko mda
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Habar za saa hizi jameni...

Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in brief.

Nimejaribu kumsihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila nawahurumia watoto wangu 2 they might suffer... Ila nimefikia hatua ya ku surrender kiukweli... Ila nahofia watoto nilimuomba watoto waende kwa bi mkubwa alikataa.

Hayupo supportive kwa kila ninacho fanya.. She hates all my siblings kiukweli nimechoka ila nikiona watoto walelewe bila baba Yao huna Ina ni stress sana nimewekeza mapenzi yangu kwa watoto.

Watoto wana: mmoja Ana 4years. Mwingine 2... Asante!+ na Mungu awabariki[emoji120][emoji120]

=======
Soma zaidi:Mke wangu ni mkorofi hatari
Ndugu process talaka mahakani chap, watoto watateseka kwa muda lakini maumivu yataisha.

Biblia yenyewe inashauri ni vema kuishi juu ya dari kwa amani kuliko kukaa na mwanamke mgonvi.
 
Mimi sijifanyi bandidu. Kwa akili yangu ilivyo siwezi kupelekeshwa kiwaki asee. Ndio maana nikasema labda nilogwe. Otherwise hakuna kiumbe kitaweza kuniambia kitu.

Ukinizingua unapita alolo chap kwa haraka..
Good! Utapelekeshwaje na mtu anakojoa akiwa kachuchumaa bhana? Anatoa damu kila mwezi, ni ungese. Tupo pamoja katika hili, mimi wangu now nimemjengea uoga japo alitaka kuleta drama kama za mke wa mtoa post at the beginning

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Africa ukiwa loyal/gentle katika mahusiano hawa gals wa kiafrica Wana kuchukulia kuwa boya yaani haujiwezi kwake umekufa umeoza ,kumbe masikini hiyo ndio inborn character yako [emoji16][emoji16]
Ni mas €ng€ mno haya masichana yaliyo mengi ya kiafrika hasa ya apa Tz, nawapongeza mno babu zetu wa Mara!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mbadilishie style .. mkuu kama mlikuwa mnakufa wote kifo cha mende.. badilika mpige katerelo-dogstyle, popo kanyea mbingu, tufani, kipipa,zimamoto au mbagara mwisho.. ataacha kidomo domo na atakuheshimu mkuu.. niamini
 
Mkuu ww na mm kesi yetu naona Kama zinafanana tuHawa viumbe sijuu wanatakaga nn .

Baada ya kuishi nae kichuo chuo mwaka wa mwisho alipata mimba na akaja hom akajifungua salama tu Sasa shida Ana mdomo Kama chiriku much know analotaka ndo analotaka nilipanga nikamvishe Pete ili tuishi lakin kwa hz dalili nataka nighairi kila kitu kishakua planned na baadh ya vitu Kama mashuka. Sijui vitenge nshanunua kwa ajili ya kupleka ukweni lakini kwa dharau anazoonyesh naona hatufik ppte nampenda Sana lakin too much is harmful nampenda Sana binti yangu ana miez 3 tu Ila nasikitika naenda kukaa mbali nae na ndo wa kwanza Ila kwa tabia ya huyu Dem kesi za kuchomana visu naona bado hazitaisha nchini plan yangu ni kupiga chin na kufanya yangu yani kamenisababisha nimeachana na mtu aliekua real .. Mambo n mengi kuliko mda
Mkuu utakimbilia wapi hao viumbe kwa 90% wanafanana uko unako kimbilia utagukia kwa mwenye udhaifu mchanganyika balaa, komaa nae hivo hivo unajinsi sie kaka zako tulisha kisea hivo hivo.
 
Good! Utapelekeshwaje na mtu anakojoa akiwa kachuchumaa bhana? Anatoa damu kila mwezi, ni ungese. Tupo pamoja katika hili, mimi wangu now nimemjengea uoga japo alitaka kuleta drama kama za mke wa mtoa post at the beginning

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mkuu acha dharau za ki jinsia hao ni mama zetu ukianza kuwa dhalilisha, unadhalilisha mama ako shangazi bibi yako na wanao toa ushauri kama unao tu.
 
Back
Top Bottom