Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Unakuta mtu kaoza kafa alafu mwanamke mwenyewe ndo ivo tunaishia jf tuuuu.
Shida inaanzia hapa, mlionesha kujilegeza kwa wanawake, sisi ni viumbe complicated sana, tuko wired tofauti mno na ninyi.!
Huwa tunaanza kuwagusa kidogo kupima kina cha maji, ukilia lia tunazamisha miguu yote tunatembea, shauri yenu.!
 
Ngoja nivute kiti nikae na juice baariidi, wenzio walianza kama wewe kujikuta mabandidu, sahii washainua mikono juu mwendo wa mateka, anyway ukileta sredi usije na I'd mpya tafadhali..!
Mimi sijifanyi bandidu. Kwa akili yangu ilivyo siwezi kupelekeshwa kiwaki asee. Ndio maana nikasema labda nilogwe. Otherwise hakuna kiumbe kitaweza kuniambia kitu.

Ukinizingua unapita alolo chap kwa haraka..
 
Wapo africa misipo Africa ... Mi kitambo sipo Africa nadhani hi ndo changamoto kubwa sana inasabisha mana a naona Sina pakuchomokea.... Mana huku loss dogo umenyanganywa kila kitu aisee!!! Hata watoto unaweza kupigwa ban nao..... Niki plan nimuachie watoto naona wata sumbuka saana.... Nilimwambia turudi nyumbani hataki... Yeye yende hataki.... Ni mtihani kiukweli....
Wewe kama haupo Africa hiyo goma huiwezi kuicheza, wewe endelea kulinda haki za wanao tu......na huku unalia kimya kimya tu.
 
Mimi sijifanyi bandidu. Kwa akili yangu ilivyo siwezi kupelekeshwa kiwaki asee. Ndio maana nikasema labda nilogwe. Otherwise hakuna kiumbe kitaweza kuniambia kitu.

Ukinizingua unapita alolo chap kwa haraka..
We phaller,
Usinifanye nicheke kwa machungu hebu niache bhaana..! Watu ambao huwa mnaongea sana ndiyo ninyi behind the keyboard hamnaga ujanja..!
 
Natamani mume wangu angeona coment yako nipo kwenye hali hii ila caseetu tofauti kidogo hafanyi maendeleo yoyote nyumbani na hela anapata nimesisitiza nijishuhulishe amegoma pia baada ya kuongea kwa zaidi ya miaka 3 kuomba na kubembeleza kugombana kununa anashangaa nipo kimya siulizi chochote zaidi ya hela ya matumizi ya kawaida hajui sina miezi miwili hapa kwake na namchekea mbaya kuna kazi nimefatiliia bado kidogo naondoka abaki na pesa zake atashangaa tu siku anarudi nyumbai sipo
Hayo ndo dezaini ya wake tunao oa, miezi miwili tu anataka maendeleo haraka, ulifuata nini kwenye ndoa kama hukua tayari kumvumilia mwenzio
 
Shida inaanzia hapa, mlionesha kujilegeza kwa wanawake, sisi ni viumbe complicated sana, tuko wired tofauti mno na ninyi.!
Huwa tunaanza kuwagusa kidogo kupima kina cha maji, ukilia lia tunazamisha miguu yote tunatembea, shauri yenu.!
Mhhhhh Haya bwana
 
Financial freedom kwa baadhi ya wanawake imekuwa mwiba mkali sana kwa wanaume...

Una mke anatengeneza 2m kwa mwezi, wewe unatengeneza 800k kuna mambo mawili hapo; either inferiority complex itakumaliza, or else mke asione kama hela ina thamani zaidi ya mahusiano na ndoa yake.
Tatixo sio pesa hata wanawake wenye kipato sufuri ni wajeuri tu. Ndoa ni mtihani mkubwa sanaa
 
Tatixo sio pesa hata wanawake wenye kipato sufuri ni wajeuri tu. Ndoa ni mtihani mkubwa sanaa
Yani ujeuri wa mwanamke Na mdomo ni wote wanao lakini Je anao kwa kiasi gani??? Je unaweza kumvumiliaaa...
 
Natamani mume wangu angeona coment yako nipo kwenye hali hii ila caseetu tofauti kidogo hafanyi maendeleo yoyote nyumbani na hela anapata nimesisitiza nijishuhulishe amegoma pia baada ya kuongea kwa zaidi ya miaka 3 kuomba na kubembeleza kugombana kununa anashangaa nipo kimya siulizi chochote zaidi ya hela ya matumizi ya kawaida hajui sina miezi miwili hapa kwake na namchekea mbaya kuna kazi nimefatiliia bado kidogo naondoka abaki na pesa zake atashangaa tu siku anarudi nyumbai sipo
Wee Ni kabila gani dad unaongea upuu HV et naondoka atanikuta sipo wew umefata nn apo
 
Mkuu ww na mm kesi yetu naona Kama zinafanana tuHawa viumbe sijuu wanatakaga nn .

Baada ya kuishi nae kichuo chuo mwaka wa mwisho alipata mimba na akaja hom akajifungua salama tu Sasa shida Ana mdomo Kama chiriku much know analotaka ndo analotaka nilipanga nikamvishe Pete ili tuishi lakin kwa hz dalili nataka nighairi kila kitu kishakua planned na baadh ya vitu Kama mashuka.

Sijui vitenge nshanunua kwa ajili ya kupleka ukweni lakini kwa dharau anazoonyesh naona hatufik ppte nampenda Sana lakin too much is harmful nampenda Sana binti yangu ana miez 3 tu Ila nasikitika naenda kukaa mbali nae na ndo wa kwanza Ila kwa tabia ya huyu Dem kesi za kuchomana visu naona bado hazitaisha nchini plan yangu ni kupiga chin na kufanya yangu yani kamenisababisha nimeachana na mtu aliekua real .. Mambo n mengi kuliko mda
 
Back
Top Bottom