Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Mpe Dawa ya ulimi[emoji4]
JamiiForums261512815.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya ishu zako, hakikisha unalea watoto...
 
Aisee pole Sana Mkuu, wanaume tunateseka Sana.

Mkeo ana chanzo chake cha kupatia hela ama mnapokuwa 6by6 humseketui fresh?
 
Polee sana. Mimi huwa nasema kuingia kwenye ndoa ukitegemea mtu atabadilika ni uongo. Mpende mtu ukijua kabisa utaweza himili mapungufu yake. Yapo yanayoweza badilika lakini sio tabia ya mtu. Hata iwe miaka 20 ile tabia bado atakuwa nayo tu.

Cha kukushauri tu. Jenga ukaribu na watoto halauf andaa talaka. Najua talaka ni mada kubwa na pana ila furaha yako kwanza then ya watoto. Ile talaka itakupa wewe nguvu ya kufanya yaliyo na afya kwako kiakili na kiujumla
 
Habar za saa hizi jameni...

Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana... She don't have respect in brief.
Pole sana mkuu, binafsi nimeshindwana na hao watu na nimeamua kulea watoto wangu 3 peke yangu sema wangu ni wakubwa.
Bwana wanawake wanaopata bahati ya kuolewa huwa wasumbufu sana sijui ni kwanini, kila ukijaribu kuwa mpole anazidi kukupanda kichwani, ukimuomba msamaha ndio balaa kabisa anakuchukulia dhaifu. Kero zinakuwa nyingi ndani mpaka unahisi muda wowote unaweza kufa kwa kiharusi.

Mimi watoto wangu siwezi warudisha kijiji nakomaanao hapa mjini coz ndio furaha yangu, nipo kwaajili yao kila ninachopambania ni kwaajili yao so siwezi wapoteza mpaka kieleweke.
 
Mbona umesema kwamba ulijua,ila ulidhani atabadilika?
Kwenye uchumba mambo yalikua tofauti sana kila mtuu alinipongeza kwa kweli hata wazazi pia... Mambo yali badilika alipofika ndani... Hapo ndipo nikaona nisicukuwi uamuzi haraka nikizani atabadilika..
 
Financial freedom kwa baadhi ya wanawake imekuwa mwiba mkali sana kwa wanaume...

Una mke anatengeneza 2m kwa mwezi, wewe unatengeneza 800k kuna mambo mawili hapo; either inferiority complex itakumaliza, or else mke asione kama hela ina thamani zaidi ya mahusiano na ndoa yake.
Ni ngumu sana hakika, Nini kinapaswa kifanyike sasa kaka mkubwa maana hali inazidi kuwa mbaya kila uchwao..!
 
Yani mambo ya mapenzi, maisha ya ndoa yanahitaji mtu awe na roho ngumu sana....Pole jikaze watoto wakue kidg.....muda huo tafuta mchepuko Safi.........ukiamka fanya mambo yako nenda kazini......akigoma kufua chukua nguo peleka dry cleaners... weekend nenda kwa mchepuko....... yani fanya kama unaish ndani na watoto tu yeye hayupo......usiangalie Fulani atakuonaje....angalia tu wanao watasomaje wataish vip miaka miwili mitatu ijayo!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Duuuh
 
Back
Top Bottom