Mwami Kabuyuki
Senior Member
- Dec 4, 2018
- 157
- 309
Ndo Uone Maamuzi yako ya Kuoa Mtu ambaye tabia yake mbaya from begging ila hukujali ukaona, Kama unaweza piga chini tu Maana we pia ina haki ya KufurahiHabar za saa hizi jameni...
Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in brief.
Nimejaribu kumsihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila nawahurumia watoto wangu 2 they might suffer... Ila nimefikia hatua ya ku surrender kiukweli... Ila nahofia watoto nilimuomba watoto waende kwa bi mkubwa alikataa.
Hayupo supportive kwa kila ninacho fanya.. She hates all my siblings kiukweli nimechoka ila nikiona watoto walelewe bila baba Yao huna Ina ni stress sana nimewekeza mapenzi yangu kwa watoto.
Watoto wana: mmoja Ana 4years. Mwingine 2... Asante!+ na Mungu awabariki[emoji120][emoji120]
=======
Soma zaidi:Mke wangu ni mkorofi hatari
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app