Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

Hivi kumbe mshafunga ndoa na mama zuri..anyway tumekusikia..ila uzuri unakasoro pia tuambie na kasoro yake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Na icho kinge kingi lazma unachapiwa ww watu kama ww mnakuaga loyal sana kwa wake zenu.
 

Una msongo wa mawazo.
 

Ukioa una uchaguzi:

1. Kuwa na wivu teseka milele.
2. Puuza mwanamke - Aman tele.

Dhana mbaya Sana! Kama unaona una wasiwasi mdukue; Ni Kazi ndogo Sana!
 
That's good bro haya maisha tunapewa fursa za kuyaenjoy kwa namna nyingi. Hayo mawazo kwamba huenda anacheat achana nayo maana hata walooa madem wabovu wanagongewaga vilevile hadi unashangaa. So kuwa mzuri si kigezo cha kukucheat
 
U could've saved alot of energy by jus posting a pic of her.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…