Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

Kila mwanamke ni mzuri kwa anayemmiliki,tambua kuna vigezo ambavyo kila mwanaume anavyo kwa anayehitaji kuishi naye....ukiona mwanaume anamponda mwanamke aliye naye,tambua kuna shida sehemu.
Wewe ni me au ke?
 
Ni kweli mkuu...She is beatiful indeed!
 
Utoto raha sana what I know nikwamba kila mtu ameoa mwanamke mzuri kulingana na mahitaji yake na vigezo avitakavyo
MKAKA HALISI;
si kulingana mahitaji yake,,,,,,,,watu wengi wamepata WENZA wa wengine kwakuwa wale waliowapenda wameenda kwa wengine.
 
Mbona mm siuoni uzuri wake [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…