Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

Mzuri haswa, Ila mwaka gani alikuwa miss,? a uzuri wake kautendee haki kuolewa na wewe.
 
Nimeishia hapa babako anakuuliza "ere you sure she’s faithful to you?

Kweli hamkuwa na mambo mengi ya kujadili.
 
Kuna binti alikua anaitwa Hidaya yaani pale street ilikua mtu akitaka kupiga inakua siyo tatizo kabisa. Kisha mwana mmoja akanogewa akaweka binti ndani.

Sasa kama jamaa kaoa mke wetu kamuweka ndani anatarajia nini kama siyo sisi wana kuingia humo humo ndani?
 
Kamwambie mwalimu wako kwenye tenses umeiva ila grammar bado kuna tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…