Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

"The beauty of someone is in the eye of the beholder,"
 
Mzuri kwako. Mkeo huwa simpendi hususan sura ya uso wake amevutika kidevu mno. Sehemu zingine kwa outlook yuko vzr. Ila akiwa naked sio namjua hasa michirizi kwenye tumbo.
Sitajibu qoutes

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 

Hii ni chai kama sio chai basi wewe kichwani una shida sana maana siku si nyingi umetoka kusema kuwa wewe una tongozwa sana na wanawake......

 
Umeipamba Valentine day yako , safi sana
 
Kwahiyo unataka kusema babako alimuelewa mtoto uwongo?
 
Uzuri wa mtu upo kwenye macho ya aonaye, wetu humu tumeoa, wakeze ni wazuri sana. Wewe umetuzidi tu hiyo hali ya kukosa Amani akiwa mbali[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…