Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

Uzuri wa mtu upo kwenye macho ya aonaye, wetu humu tumeoa, wakeze ni wazuri sana. Wewe umetuzidi tu hiyo hali ya kukosa Amani akiwa mbali[emoji16]
Mke mzuri utoe wapi, unafikiri ni rahisi?
 
Tuachane na wife wako, kingereza kipo fresh mwana, mnajifunzaga wapi wenzetu?

Mana si wengine tukijaribu kuweka nyuzi zenye yai zuri kama lako,tunashia kujaza maneno ya kwenye essay tu kama "not only that" na "due to the fact that".
 
Kweli kabisa na Jana niliwaona pale minaki sekondari kwa mbele kidooogo

Naona bwana kini wa tatu kqwaolea vibabu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Beauty is in the eye of the beholder
1.
2.
 
Huyu Mwanamke anaonekana Mzuri kwa sababu umempamba kwa Kiingilishi hebu ilete kwa kiswahili[emoji23]
 
Tuachane na wife wako, kingereza kipo fresh mwana, mnajifunzaga wapi wenzetu?

Mana si wengine tukijaribu kuweka nyuzi zenye yai zuri kama lako,tunashia kujaza maneno ya kwenye essay tu kama "not only that" na "due to the fact that".
Uzuri wa mke wangu unachangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…