Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

Picha iko wapi sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka picha tuone may be kuna baadhi ya vitu tunamzidi. Kuna ka msemo eti wazuri wananuka mdomo.
 
Dr hebu msadie huyo mtoa mada, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa hayuko sawa,kuna watu wameoa wanawake warembo sn na wako kimya,yeye kila siku anakuja na mpya,nyumba ya milioni Mia tatu anayo yeye,Goba kajenga yeye,mke mrembo anaye yeye,mademu Instagram wanamtongoza yeye na bla bla kibao..mwambie akue aache utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…