Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anawaringishia nyie wenzake, yeye ana mke mrembo, na maisha classic, au nasema uongo lol.
 
Hahaha jama huyu ana mambo
 
Tuachane na wife wako, kingereza kipo fresh mwana, mnajifunzaga wapi wenzetu?

Mana si wengine tukijaribu kuweka nyuzi zenye yai zuri kama lako,tunashia kujaza maneno ya kwenye essay tu kama "not only that" na "due to the fact that".
Ni kweli..angeandika kwa kiswahili pengine ningesoma mistari michache ila kizungu chake bwana [emoji7][emoji7]
 
nimegundua watu hawapendi humu mtu confident,mtu akiwa happy na mafanikio yake ni hatari kwa sisi low life suckers ..lol...tutahangaika kumuonyesha si lolote...ila na wewe Nick kwani ni Muhaya kwa kabila?lol
 
Wewe ni me au ke?
 
Wewe ni kabila gani? Tuanzie hapo
 
[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa, huyo moe wako mzuri upo naye hapo Kisarawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…