JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Donn mambo yashakuwa mazuri, karibu sana nyumbani uje unywe supu ya mwanzo mwanzo, husband kaangusha dume la ng'ombe tayari
Hapo vuta pumzi ndefuuuu..... Kisha kaa chini kwa utulivu.... Ila mi bado sijawa baba arif... Badn nipo nipo
unasubiri nn!
Nasubiri na wewe ujauzito wako kutoka kwa broda Tonykp , nitafurahije jamani! Nitakuletea magift ya kufa mtu
anza kuyaleta kwanza ndio nibebe
nitakupendaje shem wangu looo!
shem wangu we mkali
hebu niletee leo niitest
thn nijue nabebaje huyo kijacho!
Usihofu inakuja hapo shemeji yangu leo kwenye mida ya mchana tunapenda uwe salama shemeji yangu
gud bro inlaw!
na ikuje mi nitanue mjini
Siwezi kukuangusha shemeji yangu, nisipo kujali wewe nimjali nani tena
Hahahaha Preta ilikuwa mimba ya kichwani lol, hukuona nywele zimeongezeka?
Nicas Mtei mwaaaaa, Mungu ni mwema nshajifungua salama, ulete nyama
Amina, maombi yako yamepokelewa! Afu nakutafuta sana ujue... Ni dipu basi mie ntakupigia
Niko kwenye hard time kwa sasa maana ndio first time niko kwenye bench kusubiria majibu ya dokta
thanx kwa kujali
shem baadae mi nakukimbia kidogo!
niende kwny majukumu sasa!