Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
mie naamini huyo wa pili anayekuamini mme wake na wewed unamuamini ...sio huyo kinganganizi anakulinda kama askari wa benki kuu hata hupati nafasi ya kuhang out na old na kumake nu frenz
mke bora ni yupi kati ya hawa?
- anakufuata kila mahali, anakupigia simu za kukuuliza uko wapi na una fanya nini, anakukataza baadhi ya marafiki, anakukataza bia na sigara, ana wivu sana juu yako.
- mwanamke wa kukuacha huru kabisaaa, hakutafuti hadi umtafute, hakuulizi uliko, wala hashiki simu yako, kakuacha freee mwanzo mwisho.

huyo wa pili ni noma sana. Ukiona mke wako hakufuatilii na wewe pengine ni mmegaji nje ujue naye anamegwa kinoma ndo mana kwake ni ngoma droo. Huyo wa kwanza anauchungu wa kweli nawe lkn huyo wa pili kuna kitu anakitafuta kwako. Na sisiyiza kwamba huyo wa pili ni mbaya sana kwa maisha yako kwani ni mega nimegwe.
Nie awe na mchanganyiko wa tabia zote mbili kwa kiasi! Uhuru usiopitiliza na wivu wa kadri!

wote wrong choice tukitizama ki general, ila wako watu extreme ambao wanafaa kuoa miongoni mwa wanawake hao
mke bora ni yupi kati ya hawa?
- anakufuata kila mahali, anakupigia simu za kukuuliza uko wapi na una fanya nini, anakukataza baadhi ya marafiki, anakukataza bia na sigara, ana wivu sana juu yako.
- mwanamke wa kukuacha huru kabisaaa, hakutafuti hadi umtafute, hakuulizi uliko, wala hashiki simu yako, kakuacha freee mwanzo mwisho.
sabuni ndie mke bora kuliko wote.
hana wivu, haumwi wala hana hedhi