Mke yupi anayefaa kati ya hawa?

Mke yupi anayefaa kati ya hawa?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
mke bora ni yupi kati ya hawa?
  • anakufuata kila mahali, anakupigia simu za kukuuliza uko wapi na una fanya nini, anakukataza baadhi ya marafiki, anakukataza bia na sigara, ana wivu sana juu yako.
  • mwanamke wa kukuacha huru kabisaaa, hakutafuti hadi umtafute, hakuulizi uliko, wala hashiki simu yako, kakuacha freee mwanzo mwisho.
 
mie naamini huyo wa pili anayekuamini mme wake na wewed unamuamini ...sio huyo kinganganizi anakulinda kama askari wa benki kuu hata hupati nafasi ya kuhang out na old na kumake nu frenz
 
Kwisha habari yako!
 
Nie awe na mchanganyiko wa tabia zote mbili kwa kiasi! Uhuru usiopitiliza na wivu wa kadri!
 
wote wrong choice tukitizama ki general, ila wako watu extreme ambao wanafaa kuoa miongoni mwa wanawake hao
 
Wa kwanza ni mzuri zaidi kwani anajali mawasiliano na kama wewe hauna shida wala haita kusumbua - wewe angalia anakukataza mambo mabaya kama sigara na pombe! Huyo ndio mke mwema, anayetaka uishi bila matatizo ya kiafya kama ya mapafu!
 
mie naamini huyo wa pili anayekuamini mme wake na wewed unamuamini ...sio huyo kinganganizi anakulinda kama askari wa benki kuu hata hupati nafasi ya kuhang out na old na kumake nu frenz

huyo wa pili ni noma sana. Ukiona mke wako hakufuatilii na wewe pengine ni mmegaji nje ujue naye anamegwa kinoma ndo mana kwake ni ngoma droo. Huyo wa kwanza anauchungu wa kweli nawe lkn huyo wa pili kuna kitu anakitafuta kwako. Na sisiyiza kwamba huyo wa pili ni mbaya sana kwa maisha yako kwani ni mega nimegwe.
 
Hili nalo neno

None fo the two. One is tiring, the other plain boooring.
 
Nie awe na mchanganyiko wa tabia zote mbili kwa kiasi! Uhuru usiopitiliza na wivu wa kadri!

Kumbe wivu kiasi mali eh!
A%20S-heart-2.gif

YouTube - Black Box-Everybody Everybody
 
wote wrong choice tukitizama ki general, ila wako watu extreme ambao wanafaa kuoa miongoni mwa wanawake hao

ahhh kumbe G is .............. i thought u r straight... lol
 
Huyo wa kwanza anafaa, tena sana ni dhahiri anakupenda, ankujali na kujua uko wapi, anakukataza vitu vibaya. she is clean hay yeye anakuwa hayupo sehemusehemu. lakini huyu wa pili... mmm pana shida hapo, hakujulii hata hali, hajui kuo wapi? hagusi simu yako,ili nawe usiguse yake, yaani hana wivu hata kidogo in general hakupendi.
 
mke bora ni yupi kati ya hawa?
  • anakufuata kila mahali, anakupigia simu za kukuuliza uko wapi na una fanya nini, anakukataza baadhi ya marafiki, anakukataza bia na sigara, ana wivu sana juu yako.
  • mwanamke wa kukuacha huru kabisaaa, hakutafuti hadi umtafute, hakuulizi uliko, wala hashiki simu yako, kakuacha freee mwanzo mwisho.

huyo wa pili ndio bomba kama mimi vile shobo la nini aliponitongoza naani alikua akimfuatilia mzazi wake au?.
 
sabuni ndie mke bora kuliko wote.
hana wivu, haumwi wala hana hedhi
 
huyo wa kwanza sio mke tena ni mama tena anakufanya kama mtoto wa chekechea.
 
Ya kwanza Mkuu da imetulia si unajuwa NGOMA nje nje na sisi Wanadume hatuna Msalie Mtume tunakula hata Zenye Meno AHHHHHHH aaaaa
 
kila kitu kwa kiasi

...ila wa pili amekaa vizuri, lakini na wewe usitumie uhuru vibaya
 
Back
Top Bottom