Mkeka wa Kimkakati wa Wakuu wa Wilaya washindwa kuzuia shangwe za Mapokezi ya Tundu Lissu

Jiwe alifanya kila namna kuzuia matangazo ya kampeni za Lisu wakati akigombea urais 2020 kwenye redio, TV na mabango lkn alishindwa.

Itakuwa hivi vyeo uchwara vya uDC??

By the way, Nick wa pili mbona haonekani kwenye orodha?
Nick 2 kahamishiwa Kibaha
 
Kumbe lisu amefikia Leo?????!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…