Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa hiyo suala la katiba mpya mmelitupa pembeni!? Aisee!!!Kwahiyo tunawaomba msipoteze muda wenu kujaribu ku divert mjadala huu , hakuna atakayeingia mkenge .
Umepata wapi huo uongo ?Kwa hiyo suala la katiba mpya mmelitupa pembeni!? Aisee!!!
Kaacha kutongoza wake za Watu kama tulivyoambiwa na Magufuli ?[emoji23][emoji23] Mwampamba!
Haya tuanze kumjadili😀Kaacha kutongoza wake za Watu kama tulivyoambiwa na Magufuli ?
Mtela aanze kujadiliwa JF ! Itakuwa aibu sana !Haya tuanze kumjadili[emoji3]
Hangaya haupigi mwingi tena 😂😂😂😁Niwakumbushe tu Washauri wa viongozi kwamba, kwa ukubwa wa tuhuma za kuuzwa kwa Bandari, si rahisi tena kuleta jambo la kufifisha mjadala huu.
Kwahiyo tunawaomba msipoteze muda wenu kujaribu ku divert mjadala huu, hakuna atakayeingia mkenge.
Watanzania siyo Wajinga sana.
View attachment 2648813
Nyie watoto wa mafisadi mnategemea teuzi uchwara za DED sauti inapazwa kupitia platform yoyote usimpangie mleta madaMiddle class wa kitanzania kulalama humu kwenye soft landing, why mtoa hoja usifanye push back pekee ya kwenda pale state house na bango lako au bungeni? Acha kujionyesha shujaa hapa kwa kuwasemea watanzania wote, uoga ndio mtaji wa chama dola
Niwakumbushe tu Washauri wa viongozi kwamba, kwa ukubwa wa tuhuma za kuuzwa kwa Bandari, si rahisi tena kuleta jambo la kufifisha mjadala huu.
Kwahiyo tunawaomba msipoteze muda wenu kujaribu ku divert mjadala huu, hakuna atakayeingia mkenge.
Watanzania siyo Wajinga sana.
View attachment 2648813
Nyie watoto wa mafisadi mnategemea teuzi uchwara za DED sauti inapazwa kupitia platform yoyote usimpangie mleta mada
Lalama humu ,soon this one also will be a cold case, Senegalese wanapush back mitaani, +15 of them wamemwaga machozi ya damu, wewe endelea kulalama humu kwenye soft landing platformNyie watoto wa mafisadi mnategemea teuzi uchwara za DED sauti inapazwa kupitia platform yoyote usimpangie mleta mada
[emoji38][emoji38][emoji38]Lalama humu ,soon this one also will be a cold case, Senegalese wanapush back mitaani, +15 of them wamemwaga machozi ya damu, wewe endelea kulalama humu kwenye soft landing platform