ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Amefanya kipi ikiwa idadi ya Watoto wazururaji inaongezeka,wazee hawapati matibabu,wagonjwa Sugu wanaandikiwa Makaratasi Kuzunguka kuomba omba Msaada na Maadili kuzidi kuharibika.Mtoe Gwajima kwenye hilo kundi la Pili.
Yule Mama amejitahidi sana
Huo ni mzigo wa CCM kwa ujumlaAmefanya kipi ikiwa idadi ya Watoto wazururaji inaongezeka,wazee hawapati matibabu,wagonjwa Sugu wanaandikiwa Makaratasi Kuzunguka kuomba omba Msaada na Maadili kuzidi kuharibika.
Na Taifa Kwa ujumla maana tunawalipa salaryHuo ni mzigo wa CCM kwa ujumla
Bila Dr.Mollel Ummy Mwalimu atakuwa mzigo,huyo ndio anambebaMollel ni mzigo
Usipomuweka Mheshimiwa ummy mwalimu kwenye kundi la wachapa kazi ni ngumu sana kueleweka kwa watu nikiwepo mimi mwenyewe. Maana huyo mheshimiwa ni anachapa kazi ni haijapata kutokea. Huwezi kujuta kupewa kwake uteuzi kututumikia watanzania .ndio maana anapendwa na kukubalika na watu wa vyama vyote.Mtoe Gwajima kwenye hilo kundi la Pili.
Yule Mama amejitahidi sana.
Hapo juu Wabaki #1, #2, #9 na #10.
Wengine hewa.
au labda kama umeandika ili upate challenge
Achana na Kauli zake wewe pima matokeo ya kazi zake kwenye uchumiMwigulu huyu huyu aliyetuambia tuamie burundi?
Mwigulu? Umeongopa mchana kweupeIkiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine.
Kiujumla Kisiasa mambo yamemwendea vizuri Rais Samia tofauti na Mwaka 2022.Hata hivyo analysis ya cabinet yake imefanikiwa Kwa Asilimia kati ya 75-80% katika kutekeleza majukumu yake.
Kwa kuangalia Mawaziri mmja mmja ,wafuatao ndio Mawaziri 10 waliofanya vizuri zaidi katika kutekeleza majukumu Yao Kwa mwaka 2023.
1.Hussein Bashe-Kilimo
2.Jumaa Aweso-Maji
3.Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
4.Prof.Adolf Mkenda-Elimu
5.Mwigulu Nchemba-Fedha
6.Ummy Mwalimu-Afya
7.Biniface Simbachawene-Utumishi
8.Jenista Mhagama-Ofisi ya Waziri Mkuu
9.Innocent Bashungwa-Ujenzi
10.Dotto Biteko(Alipokuwa Madini).
Kama kawaida kwenye mbio wa mwisho Huwa hawakosekani.
Mawaziri waliofanya vibaya na kuvurunda(Mawaziri Mizigo) Kwa mwaka 2023 ni Wafuatao.
1.Mohamed Jaffo-Mazingira
2.Ashantu Kijaji-Biashara na Viwanda
3.Abdala Ulega-Mifugo
4.Hamad Masauni-Mambo ya Ndani
5.Dorothy Gwajima-Makundi Maalumu.
My Take
Haya ni maoni yangu binafsi na Wala sio lazima yafanane na wengine.
Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya 2024 na Kazi Iendelee.
Baraza pamoja na Mwenyekiti wao,wote failures!Ikiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine.
Kiujumla Kisiasa mambo yamemwendea vizuri Rais Samia tofauti na Mwaka 2022.Hata hivyo analysis ya cabinet yake imefanikiwa Kwa Asilimia kati ya 75-80% katika kutekeleza majukumu yake.
Kwa kuangalia Mawaziri mmja mmja ,wafuatao ndio Mawaziri 10 waliofanya vizuri zaidi katika kutekeleza majukumu Yao Kwa mwaka 2023.
1.Hussein Bashe-Kilimo
2.Jumaa Aweso-Maji
3.Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
4.Prof.Adolf Mkenda-Elimu
5.Mwigulu Nchemba-Fedha
6.Ummy Mwalimu-Afya
7.Biniface Simbachawene-Utumishi
8.Jenista Mhagama-Ofisi ya Waziri Mkuu
9.Innocent Bashungwa-Ujenzi
10.Dotto Biteko(Alipokuwa Madini).
Kama kawaida kwenye mbio wa mwisho Huwa hawakosekani.
Mawaziri waliofanya vibaya na kuvurunda(Mawaziri Mizigo) Kwa mwaka 2023 ni Wafuatao.
1.Mohamed Jaffo-Mazingira
2.Ashantu Kijaji-Biashara na Viwanda
3.Abdala Ulega-Mifugo
4.Hamad Masauni-Mambo ya Ndani
5.Dorothy Gwajima-Makundi Maalumu.
My Take
Haya ni maoni yangu binafsi na Wala sio lazima yafanane na wengine.
Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya 2024 na Kazi Iendelee.
Nenda Kwa Mbowe akupe asali kutoka Kwa Mwenyekiti Samia
Uchumi upi na sasa tupo gizani!Achana na Kauli zake wewe pima matokeo ya kazi zake kwenye uchumi
No.9 ndio No.1Ikiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine.
Kiujumla Kisiasa mambo yamemwendea vizuri Rais Samia tofauti na Mwaka 2022.Hata hivyo analysis ya cabinet yake imefanikiwa Kwa Asilimia kati ya 75-80% katika kutekeleza majukumu yake.
Kwa kuangalia Mawaziri mmja mmja ,wafuatao ndio Mawaziri 10 waliofanya vizuri zaidi katika kutekeleza majukumu Yao Kwa mwaka 2023.
1.Hussein Bashe-Kilimo
2.Jumaa Aweso-Maji
3.Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
4.Prof.Adolf Mkenda-Elimu
5.Mwigulu Nchemba-Fedha
6.Ummy Mwalimu-Afya
7.Biniface Simbachawene-Utumishi
8.Jenista Mhagama-Ofisi ya Waziri Mkuu
9.Innocent Bashungwa-Ujenzi
10.Dotto Biteko(Alipokuwa Madini).
Kama kawaida kwenye mbio wa mwisho Huwa hawakosekani.
Mawaziri waliofanya vibaya na kuvurunda(Mawaziri Mizigo) Kwa mwaka 2023 ni Wafuatao.
1.Mohamed Jaffo-Mazingira
2.Ashantu Kijaji-Biashara na Viwanda
3.Abdala Ulega-Mifugo
4.Hamad Masauni-Mambo ya Ndani
5.Dorothy Gwajima-Makundi Maalumu.
My Take
Haya ni maoni yangu binafsi na Wala sio lazima yafanane na wengine.
Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya 2024 na Kazi Iendelee.
Kuwa guzani Mwigulu anahusikaje?
Ninaheshimu maoni yako ila tafadhali ondoa jina la Mama Gwajima kwenye mawaziri mizigo. Huyu mama amekuwa akifuatilia hadi matukio madogo yanayotokea. Huwa ni mtu wa kujishusha.Ikiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine.