Mkeka wa Mawaziri Mizigo na Waliofanya Vizuri Kwenye Cabinet ya Samia Mwaka 2023

Mkeka wa Mawaziri Mizigo na Waliofanya Vizuri Kwenye Cabinet ya Samia Mwaka 2023

Ninaheshimu maoni yako ila tafadhali ondoa jina la Mama Gwajima kwenye mawaziri mizigo. Huyu mama amekuwa akifuatilia hadi matukio madogo yanayotokea. Huwa ni mtu wa kujishusha.
Maoni yangu yaheshimiwe lakini.Tumuweke nani badala yake?
 
Ninaheshimu maoni yako ila tafadhali ondoa jina la Mama Gwajima kwenye mawaziri mizigo. Huyu mama amekuwa akifuatilia hadi matukio madogo yanayotokea. Huwa ni mtu wa kujishusha.
Kwa Gekul mbona sijamsikia??
 
Aweso yupo vizuri sana japo dkk za lala salama maji yalisumbua sana hapa mjini!

Ndumbaro sijui kwann umemweka kwenye mawaziri mzigo? Binafsi naona wizara imefanya vizuri kimichezo Tz tumefanya poa, mambo mengi yamefanyika na yanafanyika..... waziri sio mtu aggressive sana lkn wizara yake imefanya vzr
 
Usipomuweka Mheshimiwa ummy mwalimu kwenye kundi la wachapa kazi ni ngumu sana kueleweka kwa watu nikiwepo mimi mwenyewe
Maana huyo mheshimiwa ni anachapa kazi ni haijapata kutokea. huwezi kujuta kupewa kwake uteuzi kututumikia watanzania .ndio maana anapendwa na kukubalika na watu wa vyama vyote.
Leo Tangu nikujue Umeongea Point na Ukweli
 
Aweso yupo vizuri sana japo dkk za lala salama maji yalisumbua sana hapa mjini!

Ndumbaro sijui kwann umemweka kwenye mawaziri mzigo? Binafsi naona wizara imefanya vizuri kimichezo Tz tumefanya poa, mambo mengi yamefanyika na yanafanyika..... waziri sio mtu aggressive sana lkn wizara yake imefanya vzr
Labda wap hawataki matokeo wanatala mtu anayeonekana kila mara..
Hawaoni wasanii wakiimba ujinga sajz ni tunachukua mapato tu
 
Ikiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine.

Kiujumla Kisiasa mambo yamemwendea vizuri Rais Samia tofauti na Mwaka 2022.Hata hivyo analysis ya cabinet yake imefanikiwa Kwa Asilimia kati ya 75-80% katika kutekeleza majukumu yake.

Kwa kuangalia Mawaziri mmja mmja ,wafuatao ndio Mawaziri 10 waliofanya vizuri zaidi katika kutekeleza majukumu Yao Kwa mwaka 2023.

1.Hussein Bashe-Kilimo
2.Jumaa Aweso-Maji
3.Mohamed Mchengerwa-Tamisemi
4.Prof.Adolf Mkenda-Elimu
5.Mwigulu Nchemba-Fedha
6.Ummy Mwalimu-Afya
7.Biniface Simbachawene-Utumishi
8.Jenista Mhagama-Ofisi ya Waziri Mkuu
9.Innocent Bashungwa-Ujenzi
10.Dotto Biteko(Alipokuwa Madini).

Kama kawaida kwenye mbio wa mwisho Huwa hawakosekani.

Mawaziri waliofanya vibaya na kuvurunda(Mawaziri Mizigo) Kwa mwaka 2023 ni Wafuatao.

1.Mohamed Jaffo-Mazingira
2.Ashantu Kijaji-Biashara na Viwanda
3.Abdala Ulega-Mifugo
4.Hamad Masauni-Mambo ya Ndani
5.Damas Ndumbaro-Waziri wa Michezo
6.Pindi Chana-Waziri wa Katiba na Sheria.

My Take
Haya ni maoni yangu binafsi na Wala sio lazima yafanane na wengine.

Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya 2024 na Kazi Iendelee.
🤣 mwezi wa kwanza amenusurika hayupo kwenye kundi lolote
 
Ummy hataki tuwe na university teaching hospital nchini yeye Bado anamini Tina za kwenye dispensary ni mzigo apishe.
 
Achana na Kauli zake wewe pima matokeo ya kazi zake kwenye uchumi
Kazi gani? Kutuletea tozo zisizo na idadi huku maokoto kitaa yakotokomea kusikojilikana? Au kukopakopa asubuhi, mchana na usiku Kama dozi ya Panadol nao ni utendaji uliotukuka kwa kipimo chako?
 
Back
Top Bottom