Sawa sawa dada yangu kipenziHii safi sana, miaka mingi nyuma niliwahi kuandika uzi huu:
Una uhakika gani kuwa u mtoto wa baba'ko?
Hii ni mada nyeti, tatanishi na yenye hisia kali. Soma ielewe na changia kistaarabu. Baada ya kupitia tafiti za hivi karibuni zilizotangazwa na kituo cha kupima DNA ambao walitangaza kuwa, imefahamika kuwa asilimia zaidi ya 60 ya vipimo vya DNA ya kutambua mzazi wa kiume (baba) zimeonyesha...www.jamiiforums.com
Mmmh kwanza mlalahoi gani anayeendaga kupima DNANasikia ukienda kupima DNA kama umechakaa kimaisha na muonekano wako ni mlalahoi matokeo yatapindishwa maana wanajua huyo Mtoto ataenda kufa Kwa njaa...
Hahahahaha daaaaah [emoji28]Nasikia ukienda kupima DNA kama umechakaa kimaisha na muonekano wako ni mlalahoi matokeo yatapindishwa maana wanajua huyo Mtoto ataenda kufa Kwa njaa...