simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu niwekee picha ya Mrisho Mpoto akiwa amebeba Bendera ya Kenya kwa furaha kabisa, sisemi kwamba na kuna tatizo lolote lile ila ningependa tu kuona hiyo picha!
Pesa za uwindaji hazitoshi kumplipa mwanariadha wa Kenya.Labda hela za petroli maanake waqatari na waarabu wengine wanawaahidi ksh50 million kwenda juu,kwa kila marathon!Hapo hujahesabu malipo ya ziada wanayolipwa kabla ya kuingia kwenye mkataba na wanapo kosa kukimbia kwasababu ya majeraha.Hivi wanalipwa sh ngapi ili kukimbia hawa wakenya nahitaji mmoja anisaidie ktk shughuli zangu za uwindaji.!!
Ndo nchi yetu hiyo.....Bongo tupo hovyo kwenye sports serikali imelala bado, wamburu na wairaki wanaweza hii long race, genetically wametokea highlands ethiopia. Mf filbert bayi si ndio mbongo pekee aloshinda hizi race. Nilisoma gova imeanza kuwekeza huko. Hopefully