julius yego alikua offered 10million dollars ili achezee nchi ya Qatar. tena hio 10m ilikua ni ya kuanzia, kila akicheza alikua atalipwa zengine.......... lakini alikataa kwasababu yeye ni mwanariadha alikua ameanza tu huku kenya ako na responsibility ya kukuza kipaa cha wakenya wengine na pia yeye ni symbol ya hope hapa kenya, kwamba tunaweza cheza michezo mingine pia
lakini ikija mambo ya mbio, wanariadha kenya ni wengi, utakuta wengi wamefuzu kulingana na time ya kimataifa, lakini bado hawaruhusiwi na nchi kuenda kukimbia sababu walio fuzu ni wengi na nchi moja inaruhusiwa kutuma wanaridha kadhaa tu, kwahivyo lazma kuna nchi zengine zitasaka wale walio kataliwa huku kenya ili wakimbilie hizo nchi ambazo hazina hata mmoja aliefuzu