Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuanzia lini jiwe limekuwa na akili?Kwa ujinga huu sisi Tz ndiyo tutakuwa na hasara zaidi.
Tutumie akili na sio nguvu na ujinga-ujinga.
waalike waje nyumbani kwako...Kwa ujinga huu sisi Tz ndiyo tutakuwa na hasara zaidi.
Tutumie akili na sio nguvu na ujinga-ujinga.
next time tunapiga risasiMnawasweka kwenye jela kisha mnawaachia mtaani.
Kirusi kipo mtaani halafu wanaongezeka saba kwa siku!!!Sisi kwetu tulishakubali tuna mdudu mtaani, hatufichi, nchi yetu sio ya kiujamaa, mfumo ambao husababisha mataifa yefiche data za majanga kwa kuona aibu hadi pale wanalemewa ndio wanaishia kuhaha na kusumbua watu. Nchi yoyote ya kiujamaa ukiona wamefika kutaja wana tatizo, unapaswa ulizidishe mara 1,000 ndio upate uhalsia wake. Mchina mpaka amefika kulia kuhusu Corona, ilikua imemfika kooni, sasa kwa huo usiri amesababisha dunia iteseke. Ujinga ni pale kuona aibu hata kwa kitu ambacho kimekumba kila taifa dunia, yaani usiri usio na tija kabisa, halafu la kushangaza unakuta bado unaomba msaada au kulalamika ukipitwa na misaada wanayopewa wengine wasiokua wasiri.
Kwetu tumekubali tunacho, na tunapima kila siku na kufukuzia kila sehemu tunapata fununu, na tunatoa taarifa kila siku, mara moja moja rais mwenyewe anatangaza taarifa za waathirika na anahamasisha tahadhari kwa misingi ya kisayansi kwa mujibu wa ushauri wa kitaalam anaopata, lakini pia anaagiza tuombe Mungu, maana mkimbie simba huku ukiomba, usipige magoti kuomba, utaliwa.
mwezi wa tatu huu tokea mgonjwa wa kwanza agundulike.Huu ushabiki mandazi mnaoleta kwenye uhai wa binadamu kuna siku utafika kikomo baada ya kushuhudia wapendwa wenu wakipukutika kama kuku wenye kideri.
Kirusi kipo mtaani halafu wanaongezeka saba kwa siku!!!
Maiti ya pili imeokotwa Dar,mwezi wa tatu huu tokea mgonjwa wa kwanza agundulike.
mnasema tusubiri watu waaanze kupukutika,wenzetu mbona ni kama wanga !!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sasa wote tupo mule mule sasa😅😅Hatupimi mtaani mlango kwa mlango, siku tukifanya hiyo tegemea namba kupandisha hata elfu kwa siku.
Kwa sasa serikali inawekeza zaidi kwenye kupima watu ambao wanafahamika kama 'vulnerable groups', yaani aina ya watu ambao akipata Corona inakua kiama kwake, aina ya watu wenye maradhi mengine kama kisukari n.k.
Hii itasaidia kupunguza vifo, wengine wetu mtaani ambao tuko freshi kiafya hamna haja ya kuhangaika na sisi, Corona ikija tunapigishana mieleka nayo mpaka inatutoka. Wengi tumekaa mkao wa kuisubiri ije kama ilivyo, nyumbani unatia mazagazaga yote ya kupambana nayo ikiwemo muarubaini.
Zaidi ya yote tunachukua tahadhari na kuepuka misongamano kama yenu huko.
Pia tunapima targeted contacts, akikutwa muathirika mmoja, jitihada zinafanywa za kusaka kila aliyehusiana naye
Umepima ukagundua ni corona hiyoMaiti ya pili imeokotwa Dar,
endelea kuishi kwa akili za kushikiwa ila soon utanyooka kama rula.
Uchawi tu....bongo walogi ni wengi sanamwezi wa tatu huu tokea mgonjwa wa kwanza agundulike.
mnasema tusubiri watu waaanze kupukutika,wenzetu mbona ni kama wanga !!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya kapime ulete mrejesho.Umepima ukagundua ni corona hiyo
Wewe umewapima ukagundua ni niniHaya kapime ulete mrejesho.
Hebu kimbia haraka sana ukaipime ile maiti iliyookotwa Lumumba alafu ulete mrejesho.Wewe umewapima ukagundua ni nini
Hatupimi mtaani mlango kwa mlango, siku tukifanya hiyo tegemea namba kupandisha hata elfu kwa siku.
Kwa sasa serikali inawekeza zaidi kwenye kupima watu ambao wanafahamika kama 'vulnerable groups', yaani aina ya watu ambao akipata Corona inakua kiama kwake, aina ya watu wenye maradhi mengine kama kisukari n.k.
Hii itasaidia kupunguza vifo, wengine wetu mtaani ambao tuko freshi kiafya hamna haja ya kuhangaika na sisi, Corona ikija tunapigishana mieleka nayo mpaka inatutoka. Wengi tumekaa mkao wa kuisubiri ije kama ilivyo, nyumbani unatia mazagazaga yote ya kupambana nayo ikiwemo muarubaini.
Zaidi ya yote tunachukua tahadhari na kuepuka misongamano kama yenu huko.
Pia tunapima targeted contacts, akikutwa muathirika mmoja, jitihada zinafanywa za kusaka kila aliyehusiana naye
Huu ushabiki mandazi mnaoleta kwenye uhai wa binadamu kuna siku utafika kikomo baada ya kushuhudia wapendwa wenu wakipukutika kama kuku wenye kideri.
Mbona sasa wote tupo mule mule sasa😅😅
Maiti ya pili imeokotwa Dar,
endelea kuishi kwa akili za kushikiwa ila soon utanyooka kama rula.
Tahadhari zinachukuliwa....Nasi tunafahamu ngoma ipo kitaa.Hatupo wote mle mle maana nyie mlishajiamisha kwamba tatizo limeisha baada ya karipio la mkulu, kwamba waliokua wanatajwa kupukutika na RC wenu wamepata nafuu na kila kitu shwari. Hapo inachangia watu kuacha kuchukua tahadhari mnabaki kutupia video tunazoona na mapicha ya kutisha.