Mkenya aikimbia karantini na kwenda kufia Tanzania alikokamatwa na kutiwa jela akiwa anaumwa Corona

Sisi kwetu tulishakubali tuna mdudu mtaani, hatufichi, nchi yetu sio ya kiujamaa, mfumo ambao husababisha mataifa yefiche data za majanga kwa kuona aibu hadi pale wanalemewa ndio wanaishia kuhaha na kusumbua watu. Nchi yoyote ya kiujamaa ukiona wamefika kutaja wana tatizo, unapaswa ulizidishe mara 1,000 ndio upate uhalsia wake. Mchina mpaka amefika kulia kuhusu Corona, ilikua imemfika kooni, sasa kwa huo usiri amesababisha dunia iteseke. Ujinga ni pale kuona aibu hata kwa kitu ambacho kimekumba kila taifa dunia, yaani usiri usio na tija kabisa, halafu la kushangaza unakuta bado unaomba msaada au kulalamika ukipitwa na misaada wanayopewa wengine wasiokua wasiri.

Kwetu tumekubali tunacho, na tunapima kila siku na kufukuzia kila sehemu tunapata fununu, na tunatoa taarifa kila siku, mara moja moja rais mwenyewe anatangaza taarifa za waathirika na anahamasisha tahadhari kwa misingi ya kisayansi kwa mujibu wa ushauri wa kitaalam anaopata, lakini pia anaagiza tuombe Mungu, maana mkimbie simba huku ukiomba, usipige magoti kuomba, utaliwa.
Kirusi kipo mtaani halafu wanaongezeka saba kwa siku!!!
 
Hatupimi mtaani mlango kwa mlango, siku tukifanya hiyo tegemea namba kupandisha hata elfu kwa siku.
Kwa sasa serikali inawekeza zaidi kwenye kupima watu ambao wanafahamika kama 'vulnerable groups', yaani aina ya watu ambao akipata Corona inakua kiama kwake, aina ya watu wenye maradhi mengine kama kisukari n.k.
Hii itasaidia kupunguza vifo, wengine wetu mtaani ambao tuko freshi kiafya hamna haja ya kuhangaika na sisi, Corona ikija tunapigishana mieleka nayo mpaka inatutoka. Wengi tumekaa mkao wa kuisubiri ije kama ilivyo, nyumbani unatia mazagazaga yote ya kupambana nayo ikiwemo muarubaini.
Zaidi ya yote tunachukua tahadhari na kuepuka misongamano kama yenu huko.

Pia tunapima targeted contacts, akikutwa muathirika mmoja, jitihada zinafanywa za kusaka kila aliyehusiana naye
 
Mbona sasa wote tupo mule mule sasa😅😅
 
Alaaaa, kwaiyo mzee na wewe umeshajipanga kujifukiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sasa wote tupo mule mule sasa😅😅

Hatupo wote mle mle maana nyie mlishajiamisha kwamba tatizo limeisha baada ya karipio la mkulu, kwamba waliokua wanatajwa kupukutika na RC wenu wamepata nafuu na kila kitu shwari. Hapo inachangia watu kuacha kuchukua tahadhari mnabaki kutupia video tunazoona na mapicha ya kutisha.
 
Mbona watu wamekuwa wakianguka na kufa kabla hata ya Corona? Au sababu ya hii hype ya Corona kila kifo kikitokea basi wewe unaona ni Corona? Stroke, Asthma, Malaria, Cancer vyote vimeacha kuua sasa, Tumia akili mzee.
Maiti ya pili imeokotwa Dar,
endelea kuishi kwa akili za kushikiwa ila soon utanyooka kama rula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaaaa, kwaiyo mzee na wewe umeshajipanga kujifukiza

Sent using Jamii Forums mobile app

Kujifukiza sitafanya maana mtaalam wenu professa aliyebobea sayansi alitahadharisha dhidi yake, na sio yeye tu nimesoma maeneo mengi haishauriwi maana inaathiri zaidi, hapa nimekua natazama video za waliopona Corona, mbinu zao ndio nimejiandaa kuzitumia kwenye mapambano.
Nina uhakika kirusi kwa namna moja au nyingine kimejongea kwenye kumi na nane zangu hivyo ni mkao wa kutazamana nacho macho kwa macho muda wowote au siku yoyote, full mzuka mbele kwa mbele.
 
Hatupo wote mle mle maana nyie mlishajiamisha kwamba tatizo limeisha baada ya karipio la mkulu, kwamba waliokua wanatajwa kupukutika na RC wenu wamepata nafuu na kila kitu shwari. Hapo inachangia watu kuacha kuchukua tahadhari mnabaki kutupia video tunazoona na mapicha ya kutisha.
Tahadhari zinachukuliwa....Nasi tunafahamu ngoma ipo kitaa.
 
Back
Top Bottom