Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hiyo lock down imejaa kwenye vichwa vyenu nyie mataga.
In kenya he was under quarantine in tz he was put in prison then akawachiliwa, see your reasoning, anyway nyinyi chukulieni hii ugonjwa mzaha and watch all you've invested in your tourism sector in all this years go down the drainThat means in Kunyaland things r hell for someone so informed like Tawfiq owner to dare to cross a border to Tanzania during Covid19 pandemic!
That means in Kunyaland things r hell for someone so informed like Tawfiq owner to dare to cross a border to Tanzania during Covid19 pandemic!
Tanzania waache mzahaIn kenya he was under quarantine in tz he was put in prison then akawachiliwa, see your reasoning, anyway nyinyi chukulieni hii ugonjwa mzaha and watch all you've invested in your tourism sector in all this years go down the drain
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini unadhani serikali haitoi takwimu sahihi!!!Hiyo lock down imejaa kwenye vichwa vyenu nyie mataga.
Hatua za kuchukua ni serikali kuwa na uwazi kwenye kutangaza idadi ya maambukizi na vifo vilivyotokana na korona.
Pia serikali itupe mikakati dhabiti inayochukua kupambana na korona tofauti na kujifukiza ambayo tumeelekezwa juzi.
Pia viongozi wa serikali wajiepushe na kauli zilizobase kwenye conspiracy theories za mitandaoni sijui mask za misaada zina korona mara ohh upulizaji wa dawa mitaani ndiyo unaongeza maambukizi ya korona nk.
Serikali iwe profession na sio kutumia hisia ku-adress hili janga.
Umeamua Punda afe mzigo ufike? 😂hivi ndio kupukutika[emoji16][emoji16][emoji16].
wenzetu ni kama kuku yaani akili zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
siwezi kuacha kufanya kazi eti kisa mkuu yuko chato.Umeamua Punda afe mzigo ufike? [emoji23]
Wewe endelea kuchapa kazi Kariakor Mkulu apate ushuru akiwa mafichoni Chato!