Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hiyo lock down imejaa kwenye vichwa vyenu nyie mataga.
Hatua za kuchukua ni serikali kuwa na uwazi kwenye kutangaza idadi ya maambukizi na vifo vilivyotokana na korona.
Pia serikali itupe mikakati dhabiti inayochukua kupambana na korona tofauti na kujifukiza ambayo tumeelekezwa juzi.
Pia viongozi wa serikali wajiepushe na kauli zilizobase kwenye conspiracy theories za mitandaoni sijui mask za misaada zina korona mara ohh upulizaji wa dawa mitaani ndiyo unaongeza maambukizi ya korona nk.
Serikali iwe profession na sio kutumia hisia ku-adress hili janga.