Mkenya aikimbia karantini na kwenda kufia Tanzania alikokamatwa na kutiwa jela akiwa anaumwa Corona

Mkenya aikimbia karantini na kwenda kufia Tanzania alikokamatwa na kutiwa jela akiwa anaumwa Corona

mwezi wa tatu huu tokea mgonjwa wa kwanza agundulike.

mnasema tusubiri watu waaanze kupukutika,wenzetu mbona ni kama wanga !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona watu wamekuwa wakianguka na kufa kabla hata ya Corona? Au sababu ya hii hype ya Corona kila kifo kikitokea basi wewe unaona ni Corona? Stroke, Asthma, Malaria, Cancer vyote vimeacha kuua sasa, Tumia akili mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleza ushabiki mandazi ila soon utabaki kimya kama umepigwa ganzi.
 
Mitanzania bana, Mange kimambi anaweka mpaka proof how guys are dying and sick , you guys will become the next Ecuador if care is not taken, tafadhalini take this thing seriously,despite hii back and forth ya hapa jamii forums na our love-hate relationship we want you alive and well, we cant compete with dead people.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who is mange!?

Hivi Tawfiq kumbe walihamiaga Kenya?,,,
Yule kijana alitaka kurudi augulie nyumbani,ninavyoona
 
Mitanzania bana, Mange kimambi anaweka mpaka proof how guys are dying and sick , you guys will become the next Ecuador if care is not taken, tafadhalini take this thing seriously,despite hii back and forth ya hapa jamii forums na our love-hate relationship we want you alive and well, we cant compete with dead people.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani vifo ni ngapi kenya!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jameni Watanzania acheni kuonyesha taswira kwamba kwenu ndio afueni kwa sasa, kwamba baada ya karipio kwenye hotuba ya rais hamna maambukizi tena, maana inasababisha watu wadhani kwamba huko ndio nafuu, na mkiendelea hivi tutakimbilia kuja huko tena kwa maelfu kama mazombi vile......hehehe

Sasa huyu Mkenya alikimbilia Tanzania, akakamatwa huko na badala ya kupelekwa karantini akaswekwa ndani ya jela siku mbili.

Baadaye akaachiwa kisha akazidiwa na kwenda hospitali ya Tanga, kule alikuta hospitali nayo imelemewa maana maambukizi ni mengi. Hatimaye akafariki.

Sasa hapo polisi wote waliohusiana naye, ndugu zao, na hata polisi waliohusiana na hao polisi kituoni, na kila yeyote kwa namna moja au nyingine alihusiana naye au na hao, wote watiwe karantini.

Hii inafaa iwe funzo hata kwa walinda mipaka upande wa Kenya, mnapoachia watu wanapita, mjue na nyie itawakula tu.
========================================

One of the sons of the Tawfiq Trucking and Bus Empire has succumbed to Corona Virus in Tanzania. The Mombasa based transport company is one of the oldest and most successful transport companies in Kenya. Tawfiq has morphed over the years to become Simba Coach which still dominates routes in East Africa.

According to family sources, the deceased had been quarantined in a Mombasa hospital after developing Corona virus related symptoms.

He however managed to escape from the facility and escaped to Tanzania via the Lunga Lunga border. Unfortunately for him he was detained for two days by Tanzanian authorities. Sources say his condition detoriated when in the Tanzanian cells before being released.

704fac1d5794643553120790606b887e

Mombasa Billionaire Who Escaped Quarantine Dies From Covid-19 in Tanzania
"Heresay" According to family sources, the deceased had been quarantined in a Mombasa hospital after developing Corona virus related symptoms.

Umbea huo. MTz changanya na za kwako unasepa.
 
Mkiendelea kutuaminisha kwamba corona inapona kwa mikwara na makaripio tutakuja sana.
Tunasisitizwa kujikinga dhidi ya maambukizi na kusambaa COVID-19, kwa kaulimbiu ya JILINDE UMLINDE [emoji671] RANI
 
Its very clear Tanzania are hiding Data. Sio swali an maambukizi na vifo vipo vingi sanaI
Na wewe usiwe kasuku kurudia rudia unayosikia. Tupe mrejeshonyuma kama nyumbani kwako, majirani au mtaani unakoishi wangapi wameambukizwa au kupoteza maisha, kabla ya kudai taarifa ya wagonjwa/vifo vilivyotokea mbali na makazi/ofisi yako.

Niamini tu kuwa unataka watu wafe ili ushangilie kuwa Serikali iliyoko madarakani imeshindwa kudhibiti maambukizi na kusambaa COVID-19. Upuuzi mtupu na roho mbaya. Mtu mwema huamasisha/kuhubiri kujikinga na maambukizi.

JILINDE UMLINDE JIRANI, kwa pamoja Tanzania itavuka salama.
 
That means in Kunyaland things r hell for someone so informed like Tawfiq owner to dare to cross a border to Tanzania during Covid19 pandemic!
 
Back
Top Bottom