Mkenya aliyeshikiliwa Tanzania na kuachiwa, akamatwa tena, pia aliyekwenda kumpokea naye akamatwa

Riwaya yote hii unaandika ya nini haswa, hujasoma na kuelewa, mimi sina issue na kazi ya wana usalama, hata kwetu wapo watu wanaoshikiliwa, lakini nyie mnamkamata mtu bila kueleza nini sababu.

Vipi ukija sikia ,NGO yake inafadhiliwa na pesa chafu,na Intel imeletwa tz na vyombo vya Kenya,hizi NGO zingine zina vitu viovu sana .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sogea pale central kaulize "mmemkamata kijana wetu kwa kosa gani??"..utapewa jibu..short and clear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…