Mkenya aliyetekwa na wasiojulikana wa kutokea Tanzania arejeshwa, aeleza alivyozushiwa ugaidi

na bado tumewazidi...bwahahaaa...
eti njaa na wakati kw watu maskini...
eti land injustice waambieni ccm wawaregeshee ardhi yenu..wawache kuwalipisha kodi ya ardhi na mjengo...kw sababu ardhi ni ya watanzania wala si ya ccm...

eti crime,diwani tu kapigwa mapanga...bwahaaaa...
eti rushwa,na wakati madada zenu udsm wanatoa rushwa ya ngono ndio wapite mtihani...

nasema tena..katika ukanda huu...tanzania kw rushwa ya ngono inaongoza..mpka polisi wao na wakurugenzi wanapiga punyeto ndio wawape kazi hao wapaka make-up
 
Hamna video ya hiyo interview naona kuna ka harufu ka upotoshaji
 
Askari wa Tz hawezi kukushika hovyo...Lazima umemchokoza, ukichapwa shauri yako
 
unataka tushirikiane na hao askari wenu mdebwedo ili iweje?..hatuchekei magaidi sisi..
Ushirikiano upo, upende usipende ila ni kwa masuala rasmi sio haya ya wasiojulikana ambao kazi yao kuu ni wafatafata wapinzani. Mnajua nini kuhusu ugaidi kama kwenye masuala ya kawaida ya kiusalama huwa mnaibuka na vitu vya ajabu ajabu? Kama yale ya Sirro na ile picha yake kutoka kwa cameraman akidai eti imenaswa na CCTV, baada ya ule utekaji wa Mo.
 
Askari wa Tz hawezi kukushika hovyo...Lazima umemchokoza, ukichapwa shauri yako
Sasa si nyinyi wenyewe watz ndio mnachapwa na hao polisi wenu, tena kwa mambo ya ajabu kwenye karne hii kama kumsema vibaya mtakatifu? Hiyo nayo ni sifa?
 
Mtu haachi asili yake
Watu wanazaliwa marekani na ulaya hao hao wanakuja wafanyia ujinga

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,
yote juu ya yote nawapongeza wasiojulikana a.k.a uknown friends kuwa unlimited,wao popote wanaingia na wanamchukua mtu wao,wanam-squeeze kisha wakijiridhisha wanakuacha ukatolee mapovu mbele ya safari,wakikukuta na hatia ni siku tatu tu tunakuokota either ufukweni au porini ndani ya kiroba
that's how we deal with such mo'suckers out there,big up uknown guys
 
Utawasifia tu, hadi watakampoteza dadako au kakako. Mziki wa nguvu ya umma uliwatia hofu, hao wasiojulikana, hadi wakamrejesha Mohaa Namanga wao wenyewe. Natumai mmejifunza kitu hapo, wakenya huwa hawana mazoea yakulilia serikali yao kwa jambo ambalo wanaweza wakalifanya wao wenyewe.
 
nakwambia jiwe mwenyewe aliweweseka hko aliko.hku akisema achia huyo mkenya...hao jamaa ni nyangau sana...hawajali jiwe,chuma au hili bichwa langu..popote wanapita na kuleta vurugu...sitaki wawasumbue ma entreprentinyua wangu bana
 
Ndiyo maana wasomali wanawatandika kila mara kwa ujinga huu nyinyi nyang'au!
Sio alshabab tu,hata jeshi la ethiopia uwa linavuka border na kuingia upande wa kenya na kutembeza kichapo heavy,yan hawa jamaa ndio wanyonge kwa ukanda huu,hivi kuna mpumbavu yyt ukanda anaweza kuingiza mgambo wake kwenye ardhi ya Tanzznia kizembe zembe km wanavyofanyiwa nyang'au
 
waliomteka moh...igp si kasema wale jamaa ni wasauz..au mi nlimnukuu vibaya ..

eti wanyonge..alafu msijaribu...kisha ombeni sana hii miaka iliyobakia uhuru kenyatta awe salama...manake akiugua au kupatikana na jambo amabalo hatoweza kuongoza alafu akalie ruto kiti..mtaimba lele mama nakwambia...ulizia moi...yule ni habari nyengine kabisa...tangu jiwe,museven...iddi amin mwenyewe alitia mkia mkunduni...

yani ike siku ruto atakalia kiti cha uraisi na hizi figisu figisu zenu....ndio mtaujua mziki wa kenya vizuri...uhuru hataki kutumia ubabe...

kibaki na uhuru ndio waliifanya kenya iache ishu za kutunishiana misuli na watu km nynyi...
omba sana lkn....mtaumia manake
 
Uchochezi afu Nina wasi wasi sio mkenya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifananishe mambo ya waoromo wa Kenya walipokuwa wakiwasaidia wenzao wanamgambo wa Oromia kutoka Uhabeshi. Kupambana na jeshi na ubaguzi wa serikali ya wabeshi dhidi yao na yale maajabu yenu ambayo huwa mnaibuka nayo kila uchao. Hivi hukumbuki wasauz walivoingia hadi Tz, wakamteka tajiri wenu mkubwa kabisa, tena karibu na kituo cha polisi? Alafu baada ya uchunguzi wa siku kadhaa IGP wenu akaibuka na mafanikio makubwa kwenye uchunguzi wa tukio lenyewe. Eti hii picha hapa kutoka kwa kamera za 'CCTV'. 😀
 
Kwa hivyo wewe na MK254 na akili zenu kubwa mnadhani ni rahisi askari au afisa usalama wa Tanzania au wa Kenya atavuka border in day broad light kumkamata raia wa nchi nyingine bila authority toka other side kujulishwa?

Tena eye witness wanasema jamaa walipiga risasi hewani.
 
Leta ushahidi tafadhali, kama taarifa ya huyo eyewitness.
 
Miaka yote ktk utawala huu,siku ukitekwa lazma ubambikwe na kesi ya Ugaidi[emoji1321]‍♂️
 
Boss, ni wazi kwamba hujasoma taarifa na maelezo ya Mohaa mwenyewe. Kuhusu jamaa walivomzaba makofi na kumtesa wakimlazimisha kwamba anaitwa Jamal. [emoji1]
Kilichonikera ni wewe ulipoanza kukosoa jinsi askari walivyompiga katika harakati za kutaka kujua jina la kweli, hivi unadhani mualifu hasa gaidi atataja jina lake halisi, au kutoa taarifa muhimu kwa kumuuliza pekee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…