komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
na bado tumewazidi...bwahahaaa...Kawaida wakenya mnajua kila kitu, ila katika orodha ya nchi zenye amani mpo 123, wakati hao unaowapa pole wapo 51 juu ya mabwana zenu, USA, UK na France. Kujifanya mnajua zaidi lakini ukabila, njaa, rushwa na land in justice vinaongezeka, crime ndio mnaongoza Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
eti njaa na wakati kw watu maskini...
eti land injustice waambieni ccm wawaregeshee ardhi yenu..wawache kuwalipisha kodi ya ardhi na mjengo...kw sababu ardhi ni ya watanzania wala si ya ccm...
eti crime,diwani tu kapigwa mapanga...bwahaaaa...
eti rushwa,na wakati madada zenu udsm wanatoa rushwa ya ngono ndio wapite mtihani...
nasema tena..katika ukanda huu...tanzania kw rushwa ya ngono inaongoza..mpka polisi wao na wakurugenzi wanapiga punyeto ndio wawape kazi hao wapaka make-up