Mkenya aliyetekwa na wasiojulikana wa kutokea Tanzania arejeshwa, aeleza alivyozushiwa ugaidi

Hamna video ya hiyo interview naona kuna ka harufu ka upotoshaji


Video hizi mbili tofauti zilizochukuliwa miezi tofauti mwaka huu 2019 za Mzee Yasin Jama katika matukio ya Nairobi na Namanga zinafikirisha sana:

16 Jan 2019: Father recounts harrowing moment son called during Dusit terrorist attack


29 Mar 2019 :Aliyekamatwa na polisi wa Tanzania Mohammed Al Bashir arejea nyumbani

 
Hebu nioneshe tafadhali, hapo niliposema kwamba wamuulize jina lake. Ndio maana huwa nina mashaka sana na uelewa wako.
 
Hebu nioneshe tafadhali, hapo niliposema kwamba wamuulize jina lake. Ndio maana huwa nina mashaka sana na uelewa wako.
Wewe kama sio kichaa basi njaa inakusumbua, wewe hukulaumu POLISI kumzaba makofi huyo jamaa wakimtaka ataje jina la kweli, POLISI walihisi yeye ni Jamal, sasa ulitaka alipoulizwa na kutaja hilo jina lake, POLISI waamini tu moja kwa moja bila kumtia kashkash wakati POLISI walipata taarifa huenda ni Jamal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ww umesema kitu sensitive ,.. na niongezee tu hapo ya kuwa huenda ata vikosi vya ulinzi vya kenya wapo nyuma ya hili zoezi kwann mamlaka za kiusalama kenya zilikaa kimya alafu later on ndio wakasema amesharejeshwa ? nafikiri ilikuwa ni joint mission au interpol (interpol sio lazima wawe wazungu ata polisi wetu wa nchini zetu ni sehemu ya interpol) all in all he is safe haya mambo ya kushukiwa hutokea nchi zozote hata US kuna mtu alifungwa jela miaka 30 lbaadae ndio ikajulikana kwamba jamaa alikuwa innocent...ata pale westgate attack wale RECC wali mpiga risasi jamaa wakimshuku ni mmoja wa magaidi kumbe hakuwa gaidi.
 

hakuna kitu jamaa wangeamua kumpoteza,wangempoteza tu huo umma usingefanya lolote
hadi wamemuacha,ujue washamalizana nae,kama ilivyokuwa kwa mo na r.o.m.a
 
Reactions: Oii
hakuna kitu jamaa wangeamua kumpoteza,wangempoteza tu huo umma usingefanya lolote
hadi wamemuacha,ujue washamalizana nae,kama ilivyokuwa kwa mo na r.o.m.a

Ni kweli huyu Mohamed Bashir a.k.a Jamal itakuwa DNA , finger prints zimechukuliwa kisha kuingizwa ktk database / hata pengine payroll ya informers, onyo na ujumbe umefikishwa kuwa washukiwa wanaojihusisha na masuala ya ufadhili, kushiriki, kushirikiana, kupanga, kutoripoti au kuwaza vitendo viovu hawapo salama popote walipo.

Ukiangalia video aliporejea Namanga Kajiado Kenya unamuona jamaa uso na body language yake vinasema mengi pamoja na kuzungukwa na ndugu wenye furaha kumuona ameachiliwa.
 
hapo ndipo umeongea points..hakuna chombo Cha usalama kinachoweza kuvuka MIPAKA pasipo mawasiliano...

TISS na TAASISI ya Usalama wa Kenya Ina ushirika wa karibu mnoo.

huyo bwana inaonesha TISS ya Kenya na ya Tz ilipanga huo mchezo na kusuka njama kwa huyo mtu.

lakini lisemwalo lipo ndugu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rogo alivyouwawa roho iliniuma saana ila nilivyojua uhalisia wake.....pongezi za dhati ziende kwa MOSSAD

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
umakini unahitajika sana katika maswala haya
 
Nakumbuka Kenyans mlivyokua mnalilia eti Magufuli aje aongoze hata mwezi mmoja akomeshe ufisadi... sasa huku Hataki hata kukaguliwa ndo angewafilisi mpaka Lolo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…