Mkenya aliyetekwa na wasiojulikana wa kutokea Tanzania arejeshwa, aeleza alivyozushiwa ugaidi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Anasema alichezea kibano cha hao wasiojulikana 'ambao wanaogopwa sana kule Tanzania' huku wakimuita jina la 'Jamal' na kumtuhumu ugaidi, ila imebidi arejeshwe baada ya mtiti wa Wakenya pale Namanga kuwa too much.

Hii ni hatari maana Tanzania na Kenya tulikofikishana kwa sasa kwenye utawala wa awamu hii ni balaa, tatizo serikali yetu inaonyesha udhaifu hadi wananikera kishenzi, Kagame kule yeye huwa hatetereki likija suala la kuwalinda watu wake. Ni wazi Tanzania haitokuja siku tuendane kwa chochote, na sio mara ya kwanza kuwa na chokochoko baina yetu, kuna kipindi tulifungiana mipaka, kibiashara tulipoteza lakini heshima ikadumu.
-------------------------

The Kenyan entrepreneur who was arrested last week by Tanzanian authorities gave a chilling narration of his ordeal.

Speaking to The Star, Mohamed Bashir claimed to have been severely battered for over 12 hours as he was being transported to Arusha for questioning.

The businessman described the 104Km trip to Arusha as 'hell on earth' as he was tortured and beaten in its entirety.

His arrest brought the Namanga border to a standstill as Kenyans took to the streets and blocked the Nairobi-Arusha highway over what they deemed to be an illegal arrest.

screenshot_2019-04-01_bashir_is_investigated_for_alleged_role_in_cross-border_human_trafficking_-_police.png
An undated photo of Mohamed Bashir
Mr Bashir revealed that he had been abducted by a seven-member elite Tanzanian force christened
'Usalama wa Taifa' as he was closing up his wholesale shop last Tuesday.

He was then bundled into a car and ferried to Arusha for further questioning regarding possible terrorism and human trafficking links.

"As we crossed the border into Tanzania, the officers started raining blows on me as others used pistols to hit my knees, forehead and back," he disclosed.

Upon their arrival in Arusha, Mr Bashir claimed to have been taken a further 20Km more inland to the special units' headquarters and placed in a poorly lit room for questioning.

"They asked me to identify myself, and I told them. As soon as they heard that, I received a slap across the face," Bashir divulged.

He went on to claim that they continued beating away at him stating that he was lying and that his name was Jamal, a fact he categorically denied as he begged for mercy.

Mr Bashir has since been released after the Tanzanians established that they had arrested the wrong man.

However, Kajiado Central sub-county Police Commander - Issa Mohamed revealed that the Directorate of Criminal Investigations (DCI) were still investigating him to establish if there is any truth behind the terror and human trafficking links.

image_taken_at_the_namanga_border_area_following_protests_over_bashirs_arrest.jpg
Image taken at the Namanga Border area following protests over Bashir's arrest

https://www.kenyans.co.ke/news/38409-kenyan-narrates-12hr-torture-tanzanian-authorities
 
Mbona kusiwe na ushirikiano kati ya Kenya na Tz kwenye masuala ya usalama sanasana kuhusu ugaidi? Maanake hata vijana watz huwa wanavuka boda pia, wakisafiri kuenda Somalia kujiunga na Alshabaab. Kitengo cha ATPU(Anti-Terrorism Police Unit) huwa kipo makini sana kwenye masuala ya ugaidi. ATPU ndio waliwatanguliza mbele ya haki wale wahubiri magaidi kina Aboud Rogo na Makaburi. Najua kwa uhakika kwamba pale Namanga Border wana operatives wao. Ila kuna yale ambayo hayasemwi kwasababu hawa wasiojulikana ni outfit ya kisiasa tu.
 
Kama unajua jirani wako hapendi ujinga, usimdhubutu na mambo ya kishenzi..Utachapwa tu uje kulialia humu
Acha kusifia ujinga, hao wasiojulikana wanafanya ujasusi wa aina gani kama wanamzaba makofi mtu ambaye yupo mikononi mwao wakimlazimisha kwamba ainaitwa Jamal. [emoji38] Badala ya kuingia mifukoni mwake watoe chochote ambacho kitawasaidia kumtambulisha, kisha wamtupe selo wakingoja kuhakikisha kweli kwamba wanaye waliyenuia kumkamata. Hawa ni wale wanaotumia nyundo kuua nzi ambaye ametua kwenye pua lao. [emoji1] Poleni majirani kwa haya majipu ambayo yalikuzwa badala ya kutumbuliwa.
 
Ndiyo maana wasomali wanawatandika kila mara kwa ujinga huu nyinyi nyang'au!
Nadhani watz wengi huwa hawafahamu tofauti kati ya wasomali(asili) na wasomalia(utaifa). Kuna wakenya wenye asili ya kisomali ila hawajawahi tia mguu wao Somalia na wala hawaijui kabisa nchi hiyo. Ni wakenya kama wakenya wengine tangu enzi za mababu zao. Chimbuko lao ni ule mkoa wa zamani Kenya, North Eastern Province(NEP). Kawaelimishe pia na hao wababe mazero brain wasiojulikana. [emoji1]
 
kwa nini akamatwe yeye tuu!!!?? ni wakenya wangapi wanapita hiyo boda?? saa nyingine sisi raia hatujui mambo ya ndani ya kiusalama!!! tunawachukulia ni majirani zetu, waumini wenzetu, na ndugu zetu labda vikosi vyenu vya usalama vinajua zaidi lakini kwa sababu raia wameingilia kati kichwa kichwa>>>>>>>>
 
Anasema alichezea kibano cha hao wasiojulikana 'ambao wanaogopwa sana kule Tanzania' huku wakimuita jina la 'Jamal' na kumtuhumu ugaidi, ila imebidi arejeshwe baada ya mtiti wa Wakenya pale Namanga kuwa too much.

Hii ni hatari maana Tanzania na Kenya tulikofikishana kwa sasa kwenye utawala wa awamu hii ni balaa, tatizo serikali yetu inaonyesha udhaifu hadi wananikera kishenzi, Kagame kule yeye huwa hatetereki likija suala la kuwalinda watu wake. Ni wazi Tanzania haitokuja siku tuendane kwa chochote, na sio mara ya kwanza kuwa na chokochoko baina yetu, kuna kipindi tulifungiana mipaka, kibiashara tulipoteza lakini heshima ikadumu.
-------------------------

The Kenyan entrepreneur who was arrested last week by Tanzanian authorities gave a chilling narration of his ordeal.

Speaking to The Star, Mohamed Bashir claimed to have been severely battered for over 12 hours as he was being transported to Arusha for questioning.

The businessman described the 104Km trip to Arusha as 'hell on earth' as he was tortured and beaten in its entirety.

His arrest brought the Namanga border to a standstill as Kenyans took to the streets and blocked the Nairobi-Arusha highway over what they deemed to be an illegal arrest.

screenshot_2019-04-01_bashir_is_investigated_for_alleged_role_in_cross-border_human_trafficking_-_police.png
An undated photo of Mohamed Bashir
Mr Bashir revealed that he had been abducted by a seven-member elite Tanzanian force christened
'Usalama wa Taifa' as he was closing up his wholesale shop last Tuesday.

He was then bundled into a car and ferried to Arusha for further questioning regarding possible terrorism and human trafficking links.

"As we crossed the border into Tanzania, the officers started raining blows on me as others used pistols to hit my knees, forehead and back," he disclosed.

Upon their arrival in Arusha, Mr Bashir claimed to have been taken a further 20Km more inland to the special units' headquarters and placed in a poorly lit room for questioning.

"They asked me to identify myself, and I told them. As soon as they heard that, I received a slap across the face," Bashir divulged.

He went on to claim that they continued beating away at him stating that he was lying and that his name was Jamal, a fact he categorically denied as he begged for mercy.

Mr Bashir has since been released after the Tanzanians established that they had arrested the wrong man.

However, Kajiado Central sub-county Police Commander - Issa Mohamed revealed that the Directorate of Criminal Investigations (DCI) were still investigating him to establish if there is any truth behind the terror and human trafficking links.

image_taken_at_the_namanga_border_area_following_protests_over_bashirs_arrest.jpg
Image taken at the Namanga Border area following protests over Bashir's arrest

https://www.kenyans.co.ke/news/38409-kenyan-narrates-12hr-torture-tanzanian-authorities
Kwaiyo aliliwa kiboga kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kusifia ujinga, hao wasiojulikana wanafanya ujasusi wa aina gani kama wanamzaba makofi mtu ambaye yupo mikononi mwao wakimlazimisha kwamba ainaitwa Jamal. [emoji38] Badala ya kuingia mifukoni mwake watoe chochote ambacho kitawasaidia kumtambulisha, kisha wamtupe selo wakingoja kuhakikisha kweli kwamba wanaye waliyenuia kumkamata. Hawa ni wale wanaotumia nyundo kuua nzi ambaye ametua kwenye pua lao. [emoji1] Poleni majirani kwa haya majipu ambayo yalikuzwa badala ya kutumbuliwa.
Kawaida wakenya mnajua kila kitu, ila katika orodha ya nchi zenye amani mpo 123, wakati hao unaowapa pole wapo 51 juu ya mabwana zenu, USA, UK na France. Kujifanya mnajua zaidi lakini ukabila, njaa, rushwa na land in justice vinaongezeka, crime ndio mnaongoza Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani hakuna kitu kinaitwa ugaidi.
Hii ni mipango ya mzungu kutuzingua.
We fikiria alshabab wanakipato gani cha ku survive miaka 10?
Yaani mzungu anakuonyesha picha za kundi la isis likihamisha vifaa vizitovizito kutoka mji mmoja huko syria kwenda mji mwingine?
This is childsh comedy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa nini akamatwe yeye tuu!!!?? ni wakenya wangapi wanapita hiyo boda?? saa nyingine sisi raia hatujui mambo ya ndani ya kiusalama!!! tunawachukulia ni majirani zetu, waumini wenzetu, na ndugu zetu labda vikosi vyenu vya usalama vinajua zaidi lakini kwa sababu raia wameingilia kati kichwa kichwa>>>>>>>>

Soma taarifa vizuri, yeye hakupita border, kafuatwa ndani ya nchi yake na hao watu wenu wa noah nyeupe, japo nimeanza kuhisi hapa kuna mchezo utakua unachezwa kwa ushirikiano wa wana usalama wa Kenya na wa Tanzania. Iwe wa Kenya waliomba hao wenu waje wafanye maana makelele hayatakua na uzito kama wakifanya hawa wa Kenya, hili nimehisi baada ya tamko la DCI wetu kuongelea hii issue kizembe sana.

Haya mambo ya kumkamata mtu na kumbambikizia ugaidi ni jambo mbaya sana maana ndio huzaa ugaidi wenyewe.
 
Ndio maana nasema " akili yako na ya hao raia wenzetu ni nyembamba haijajua medhali" wanausalama wanatujua zaidi ya tujiuavyo na wao ni tofauti na sisi raia wa nchi hizi wana mawasiliano na mashirikiano makubwa!!!!
 
Duniani hakuna kitu kinaitwa ugaidi.
Hii ni mipango ya mzungu kutuzingua.
We fikiria alshabab wanakipato gani cha ku survive miaka 10?
Yaani mzungu anakuonyesha picha za kundi la isis likihamisha vifaa vizitovizito kutoka mji mmoja huko syria kwenda mji mwingine?
This is childsh comedy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa picha hizo hizo zinaonesha jitu jeusi au li mwarabu akifurahia kuletewa makombora kwa ajili ya kuua binadam wenzake then uanze kulaumu kuwa Wazungu ndo wabaya? Mbaya ni huyo mjinga aliekubali kupewa kisu na kukipokea na kukubari kumchoma mama yake mzazi kisa tu kuna promise ya PEPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kusiwe na ushirikiano kati ya Kenya na Tz kwenye masuala ya usalama sanasana kuhusu ugaidi? Maanake hata vijana watz wanavuka boda pia kusafiri hadi Somalia kujiunga na Alshabaab. Kitengo cha ATPU(Anti-Terrorism Police Unit) huwa kipo makini sana kwenye masuala ya ugaidi. ATPU ndio waliwatanguliza mbele ya haki wale wahubiri magaidi kina Aboud Rogo na Makaburi. Najua kwa uhakika kwamba pale Namanga Border wana operatives wao. Ila kuna yale ambayo hayasemwi kwasababu hawa wasiojulikana ni outfit ya kisiasa tu.
unataka tushirikiane na hao askari wenu mdebwedo ili iweje?..hatuchekei magaidi sisi..
 
Dah..ujumbe umefika[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Kawaida wakenya mnajua kila kitu, ila katika orodha ya nchi zenye amani mpo 123, wakati hao unaowapa pole wapo 51 juu ya mabwana zenu, USA, UK na France. Kujifanya mnajua zaidi lakini ukabila, njaa, rushwa na land in justice vinaongezeka, crime ndio mnaongoza Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, ni wazi kwamba hujasoma taarifa na maelezo ya Mohaa mwenyewe. Kuhusu jamaa walivomzaba makofi na kumtesa wakimlazimisha kwamba anaitwa Jamal. [emoji1]
 
Soma taarifa vizuri, yeye hakupita border, kafuatwa ndani ya nchi yake na hao watu wenu wa noah nyeupe, japo nimeanza kuhisi hapa kuna mchezo utakua unachezwa kwa ushirikiano wa wana usalama wa Kenya na wa Tanzania. Iwe wa Kenya waliomba hao wenu waje wafanye maana makelele hayatakua na uzito kama wakifanya hawa wa Kenya, hili nimehisi baada ya tamko la DCI wetu kuongelea hii issue kizembe sana.
Haya mambo ya kumkamata mtu na kumbambikizia ugaidi ni jambo mbaya sana maana ndio huzaa ugaidi wenyewe.
halafu we jamaa kichwa yako ni boga sana.acha watu wafanye kazi yao,mambo mengine huyajui,mbona hawakukuteka wewe?
usipende kutetea ujinga
 
Back
Top Bottom