Mkenya anayemiliki hospitali nne DR Congo

Mkenya anayemiliki hospitali nne DR Congo

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Hii story imenitouch sana. Huyu Mkenya ambaye alikuwa jeshi alienda peacekeeping DR Congo akaona jinsi watu wanateseka akaamua kuresign na kuanzisha clinic mwaka wa 2008. sasa hivi ana hospitali nne mahali panaitwa Bukavu na Goma DR Congo.

Safi sana, halafu hiyo DRC tukiivizia vizuri ina fursa nyingi sana.
 
It's is good pia wapo watanzania wanamiliki makampuni sehemu mbalimbali

Screenshot_20201129-115203.jpg
 
Hongera zake sana kwa ujasilia mali huo.

Hii isiwe ligi, bali chachu kwa wapiganaji.
 
moja, mbili, tatu watanganyika twendee.

1.Jamaa kwao kuna njaa kali

2. Kuna corona

3. hawana vivutio kama sisi

,,😂😂😂😂

Hate or get inspired my fellow Tanzanians

😁😀😄😃
Hii siyo ligi.
Ni self evaluation. Your targets vs achievements.
Also age against level of (one's) life.
 
hili ni jambo la msingi na la kibinaadamu.

hofu yangu ni kwamba nyinyi mmechukulia kama ni sehemu ya kujisifu,wakati jamaa kaamua kusaidia watu kupitia biashara.
 
hili ni jambo la msingi na la kibinaadamu.

hofu yangu ni kwamba nyinyi mmechukulia kama ni sehemu ya kujisifu,wakati jamaa kaamua kusaidia watu kupitia biashara.
Hatujisifu. Hii ni habari inayohusu Kenya ndio maana nimeiposti hapa Kenya section. Kama hupendi habari za Kenya basi nenda Mapenzi section.
 
Hatujisifu. Hii ni habari inayohusu Kenya ndio maana nimeiposti hapa Kenya section. Kama hupendi habari za Kenya basi nenda Mapenzi section.

at all hii si habari inayohusu kenya,ni habari inayohusu DRC.

halafu sikukwambia nimekasirika,labda wewe ndio umachukia.
 
at all hii si habari inayohusu kenya,ni habari inayohusu DRC.

halafu sikukwambia nimekasirika,labda wewe ndio umachukia.
Unachukia Wakenya kiasi kwamba Mkenya akifanya mazuri hutaki asifiwe. Wacha hizo roho mbaya. Eti habari hii haihusu Kenya? Kama sio huyo Mkenya basi hizo hospitali hazingejengwa.
 
Back
Top Bottom