Mkenya anayemiliki hospitali nne DR Congo

Unachukia Wakenya kiasi kwamba Mkenya akifanya mazuri hutaki asifiwe. Wacha hizo roho mbaya. Eti habari hii haihusu Kenya? Kama sio huyo Mkenya basi hizo hospitali hazingejengwa.

angalia hapa napo unaacha akili yako chini.

mkenya amejenga kama hisani au ni biashara anafanya!!!
 
Wewe ndiyo umenunua?
Unaongea Ongea tu vitu visivyo kuhusu.
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜„
Yes amenunua yeye. Anamiliki sehemu ya kampuni ya kcb na equity kupitia shares zake😳.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…