Money LaunderingIngawaje sijui kutakatisha ndio kufanya mambo gani hayo, afungiwe tu.
Huyo hakimu usithubutu kukutana naye kwenye kesi
Tutalipiza kwa kunyongaMkenya mmoja kwa jina la Murithi amepigwa nyundo (miaka) 2800 baada ya kukutwa na makosa 400 ya utakatishaji wa fedha katika mahakama ya Kisutu.
Nyang'au kama unakuja Bongo kutafuta hela njoo ila uwe unafanya kitu legit maana huku sio sehemu salama kwa mambo yenu ya ajabu ajabu (muulizeni mhindi Sethi),Bongo hatuna tatizo hata kuiweka kaunti moja yote ndani kama mkionekana mnafanya vitu vya ovyo.
Habari zaidi zinafuata wakuu
Asante kakaMoney Laundering
Na kama siyo flat basi kosa lenye kifungo kirefu zaidi ndiyo hutumikiwa.Hiyo ni 7 saba, wakati mwingine sheria ni kama mnataniana tu, amefungwa miaka 2800 kwa makosa 400, kwahiyo chukua 2800÷400, kila kosa ni miaka 7,
Kwahiyo kama atatumikia makosa yote kwa pamoja, maana yake kila mwaka anatumikia makosa yote 400, kwahiyo ndani ya miaka saba atakuwa amelamba kifungo cha miaka 2800,
So funny!!
Yaani hiyo miaka 2800
Akifa yeye atakuja mwanaye atafungwa atakuja mjukuu atafungwa na kitukuu atafungwa kilembwe atafungwa mpaka 2800 miaka itimie.
Chezea wabongo wewe, siyo watu kabisa.
[emoji4]
Itakuwa historia kwa wakenya. [emoji4]Akifa kaburi lake litawekwa pingu za zege na miguu inafungwa kwa pingu imara![emoji1]