Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 610
Kwani nyinyi sio mafarasi?Usiwe na hasira, ni mibezo za kindugu ndudgu tu hapo
Btw, hii ni maraangu ya kwanza kabisa kuskia ati mtanzania amefanya vyema hivo kwenye mashindano hayo. Mbona kila mara huwa mnarudi mikono mitupu?
Hongereni kwa,ushindi huu wa kihistoria, na muendelee kujikweza hivo hivo.
Na wakati mtakapofika mahali tulipo kwa sasa, sisi pengine tutakuwa tunafanya mashindano na mafarasi.
msaliti anajulikana...infact kuna wasaliti wengi wamekibia kwenda Bahrain...tuta deal nao vilivyoMsaliti kamsaliti nani wakati bado ni Mkalenjin?
hongera kwake Simbu ila bronze ukija Kenya hio ni the worst performance unaeza pata...pengine wewe unaona ni jambo kubwa lakini kukweli, wakenya hawaoni hilo...infact they are disappointed by the fact that kenyans did not take gold, silver and bronze altogether....kuna wakati wakenya walichukua nafasi ya kwanza hadi ya sita mfululizo...yaani ukishazoea gold, inakua kama sigara....but having said all this, i still congratulate you because it might be bronze today but tomorrow it will be gold...naona wameanza kujikakamua na hio ni vizuri...nyie ni wenzetu...East africa tunawakilisha...all eac members are in the medal table na io ni poa sana...waganda walijikaza pia wako pale...kenya na ethiopia wakpo pia...tanzania pia wamejikakamua wna wameamua hawawachwi nyuma...finally kuna south africa pia kwenye medal table...Jay456watt nilikwambia let us get on shape, tutachapana tuu. Here we go.
Kweli, kushindana na sisi ni kama kuahindana na farasi.
Sawa, kwa kuwakilisha kanda ya EA tuko pamoja, ikija kwenye ushindani wa ndani ni kuchapana fimbo za kimasai na kisamburu.hongera kwake Simbu ila bronze ukija Kenya hio ni the worst performance unaeza pata...pengine wewe unaona ni jambo kubwa lakini kukweli, wakenya hawaoni hilo...infact they are disappointed by the fact that kenyans did not take gold, silver and bronze altogether....kuna wakati wakenya walichukua nafasi ya kwanza hadi ya sita mfululizo...yaani ukishazoea gold, inakua kama sigara....but having said all this, i still congratulate you because it might be bronze today but tomorrow it will be gold...naona wameanza kujikakamua na hio ni vizuri...nyie ni wenzetu...East africa tunawakilisha...all eac members are in the medal table na io ni poa sana...waganda walijikaza pia wako pale...kenya na ethiopia wakpo pia...tanzania pia wamejikakamua wna wameamua hawawachwi nyuma...finally kuna south africa pia kwenye medal table...
Kwa roho mbaya mlizonazo na kupenda umimi hamshindwi ku-deal nao kweli maana mna roho ya kwanini ambayo haina tiba poleni sanamsaliti anajulikana...infact kuna wasaliti wengi wamekibia kwenda Bahrain...tuta deal nao vilivyo
ni kweli kabisa...yaani kenya haiwapi hawa wakimbiaji motivation nzuri ya kipesa...siwez nikawalaumu wale wana hama kwenda kukimbilia nchi za ng'ambo...huko wanalipwa vizuriSawa, kwa kuwakilisha kanda ya EA tuko pamoja, ikija kwenye ushindani wa ndani ni kuchapana fimbo za kimasai na kisamburu.
Lakini ni nyingi Kenya muache kuwachina hawa EA talent's wanakimbia nchi nyingine kirahisi bana. Nchi kama Bahrain, sijuwi Turkey, USA, ilibidi wawalipe fidia kidogo. Kenya ilipoteza pesa kuwajenga hao jamaa.
Hehe shaba ni bronze bana! Eti copper! Hongera tzNdio maana tunasema nyinyi ni wageni kwenye haya mashindano, nambali ya pili hupata fedha ndio (silver) naye nambali ya tatu hupata shaba ndio (copper) wakati mwingine waulize wadau kwanza
mbona hueleweki? kisha wewe nyamaza .....bronze medal ndio mnaimba kana kwamba sijui mmefika mbinguni? lol! hapa kenya bronze medal nikama nishani sijui ya mbao ama plastic...wametusaliti ila bado tunawakilisha...nenda kaangalie medal table uone ni nani anaongoza licha ya kwamba huyo msaliti kahamia Bahrain...tunawatandika fimbo ya kutosha...hao wasaliti wakitoka kuleLondon wanakuja Kenya kwani ndio kuna familia zao ila wanaenda kukimbilia nchi zingine...wapumbavu wakubwa hawa...Kwa roho mbaya mlizonazo na kupenda umimi hamshindwi ku-deal nao kweli maana mna roho ya kwanini ambayo haina tiba poleni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahahaa mtafute MK254 atakutafsiria hicho ndio Kiswahilimbona hueleweki? kiswahili kinakushinda Tanzanian?
Jamaa unachekesha sana weyeHongera zake huyo mswahili, bila shaka jasho jembamba limemtoka sasa ngoja tukae kitako tusubir interview yake..[emoji3] bila shaka atashusha unge'nge wa hatari...hehe[emoji191] [emoji191] [emoji109]
Kweli wanafata hela, lakini wengine wanalalamika selection inakuwa ya kindugu na kibaguzi, ndio maana wanakwenda nje kwasababu huko nje hawalipi mtu 10% ndio wachaguliwe.ni kweli kabisa...yaani kenya haiwapi hawa wakimbiaji motivation nzuri ya kipesa...siwez nikawalaumu wale wana hama kwenda kukimbilia nchi za ng'ambo...huko wanalipwa vizuri
kichapo tunawapa mpaka msikie...bronze ni kama plastic hapa kenya...fimbo lazma mchapwe...kiuchumi, kwenye spoti, kwenye maendeleo na kadhalika...tz bado sana...east africa's most advanced economy inajulikana peupe...sio mtu anashinda bronze watu wanadhani wamefika mbinguni...lol!
Afadhali wewe kuliko, yule aliyesema kuwa Simbu " alijiitutumua". Ukweli ni kwamba hakujitutumua, alikimbia, alishindana na akachukua nafasi ya tatu ambayo sio ndogo. Atapata hela nyingi tu kwa ushindi huo wa tatu. Na yule bwana anasema eti "alijitutumua."Hongera sana Kenya kwa kuchukua Gold and Hongera Tanzania kwa Kuchukua Bronze.
Si nilisikia wanariadha wa Kenya kadhaa walioshinda medali za Olympic za nyuma walipatikana wametumia *******? Hivyo hiyo iliisha namna gani?kichapo tunawapa mpaka msikie...bronze ni kama plastic hapa kenya...fimbo lazma mchapwe...kiuchumi, kwenye spoti, kwenye maendeleo na kadhalika...tz bado sana...east africa's most advanced economy inajulikana peupe...sio mtu anashinda bronze watu wanadhani wamefika mbinguni...lol!
Neither do we value your recognition. Hongera kwa Bwana simbu. Namuombea sana hata awe na uwezo wa kuwatoa hawa wakenya wetu jasho vile wahabeshi huwa wanafanya ndiposa hata watie bidii kabisa.Tangu kashfa ya kutumia dawa mlivyoumbuana wenyewe kwa wenyewe hata mchukue dhahabu ngapi siwaamini kabisa c.c: MK254
Sent using Jamii Forums mobile app