Wacha tushangilie kwa raha zetu. Ikija kwa michezo(except for foootball) wakenya hua tunawakilisha vizuri, kutoka rugby,volleyball,mbio,badminton, TT, swimming, sniping,boxing...
Wakati Juilius Yego alinza kurusha mkuki, alienda kushindana europ kwa championship ndogo ndogo (yaani kama vile formula 4), hata si watu wengi walijua, lakini wale waliojua walimsifia kwa kuwa na potential... Sasa angalia Julius Yego yuko wapi? Yeye ndio bingwa duniani kwa sasa!!!!! kuna watu wawili pekee ambao wameshawai kurusha mkuki zaidi yake kwa historia!!!!
Huyu kijana amendikiwabarua na waziri na akaambiwa aendelee hivyo hivyo kushinda hio ligi ndogo na kwamba nchi itamsaidia apeperushe bendera ya Kenya. Entry ya ku participate kwa hio championship kama driver ni 226,000 United Arab Emirates Dirham!!! hio ni millioni 6,476,790 za kenya!!! Ama ukipenda millioni mia moja thalathini na tatu za Tanzania (133,445,198.45 Tanzanian Shilling).
Kwahivyo huu si mchezo wa bure bure, unahitaji support kubwa hata kama uko formular 4, ukishinda kwa hizi ligi za chini unapata 'seat time' (kama vile flight hours) nyingi, unaanza kupanda ligi za juu kidogo kama vile Formula Renault 2.0 ambayo ni gali zaidi, kadri unavyo shinda, mwishowe formula 1 utafika... Lakini hakuna short cut, you have to start at the bottom and move up the formular ladder. This guy needs all the support