joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Watakuambia ...sisi tulitoka huko iliko Tanzania hatutaki kurudi tuna katiba mpya
Tukiweka ushabiki kando wa Kenya na Tanzania, ni wazi kwamba wakenya wengi wanaikubali sana Tanzania, hii inathibitishwa na jinsi wakenya wengi hasa wale wasomi wanavyoizungumza Tanzania katika mijadala mbalimbali huko kwao.
Katika mijadala mbalimbali katika TV, Redio au mijadala ya wazi, huwa wanaitumia Tanzania kama mfano mzuri wa kuigwa na Kenya katika utendaji wa Kazi.
Ninadhani hili ni jambo zuri, nikimaanisha kuiga mambo mazuri kwa jirani yako. Hongereni sana kwa wale wenye wivu wa maendeleo.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.Watakuambia ...sisi tulitoka huko iliko Tanzania hatutaki kurudi tuna katiba mpya
Hahahaha, acha kujiliwaza na uanze kukubaliana na ukweli, wakenya wengi hasa wasome wameshajua na kukubaliana na ukweli, kuendeleza tabia ya kupingana na ukweli ni kuendelea kulimbikiza ujinga. Mbona yule mbunge wa Tanzania wa upinzani alipoisifia Kenya hakuna aliyesema hivyo unavyodai?Maamuzi yake hayo...ana uhuru wa kujieleza...km anaona yeye vile ccm kutumbua tumbua watu pasipo kufuata sheria anapendezwa...pole yake...
Lkn najua angelikua mbongo amesifia kenya, mngelisema km yeye si mzalendo mara wengine wakimwambia ahame nchi
We Kweli imhotep matope.Fire brigade ya pale Morogoro ndio mfàno wa kuigwa na Wakenya.
Tukio kama lile la Morogoro lilitokea pia Kenya, tena Kenya liliua idadi zaidi ya mara 10 ya Tanzania, huyo maliasili halijui hiloWe Kweli imhotep matope.
Kumbuka lile tukio limetokea suddenly na halifananii na hilo la ferry.
Na lile la moto watu kwa siku hyo hyo waliokolewa na waliofariki walizikwa.
Nambie ingekua Kenya kuna ht mtu angepona Kweli??!!
Licha ya hivyo inaelezewa ktk hiyo ktn kuwa kumbe serikali yenu ya kikenya ktk uokoaji ni butu kuna watu kumbe walizama na hawakupatikana hata mmoja huu si uzembe???
Ebu igezeni Tz yani kivuko kilipinduka kikainuliwa, watu waliokolewa na waliofariki kuopolewa ninyi 26 years back matukio km ya juzi yalitokea hamkuwahi kuopoa mwili hatta mmoja.
Huu uzembe kabbisa mna mengi ya kujifunza toka kwetu.
Kha! Tokea Tenkar linaanguka mpaka kipindi linalipuka ilikuwa takriban dakika 25 hivi huwa mnapenda kusifiwa wakati ni Rubbish!suddenly
Tukio km lile huwez lifananisha na la ferry jamaa ebu tuliza akili.Kha! Tokea Tenkar linaanguka mpaka kipindi linalipuka ilikuwa takriban dakika 25 hivi huwa mnapenda kusifiwa wakati ni Rubbish!
Hahahaha, acha kujiliwaza na uanze kukubaliana na ukweli, wakenya wengi hasa wasome wameshajua na kukubaliana na ukweli, kuendeleza tabia ya kupingana na ukweli ni kuendelea kulimbikiza ujinga. Mbona yule mbunge wa Tanzania wa upinzani alipoisifia Kenya hakuna aliyesema hivyo unavyodai?
We Kweli imhotep matope.
Kumbuka lile tukio limetokea suddenly na halifananii na hilo la ferry.
Na lile la moto watu kwa siku hyo hyo waliokolewa na waliofariki walizikwa.
Nambie ingekua Kenya kuna ht mtu angepona Kweli??!!
Licha ya hivyo inaelezewa ktk hiyo ktn kuwa kumbe serikali yenu ya kikenya ktk uokoaji ni butu kuna watu kumbe walizama na hawakupatikana hata mmoja huu si uzembe???
Ebu igezeni Tz yani kivuko kilipinduka kikainuliwa, watu waliokolewa na waliofariki kuopolewa ninyi 26 years back matukio km ya juzi yalitokea hamkuwahi kuopoa mwili hatta mmoja.
Huu uzembe kabbisa mna mengi ya kujifunza toka kwetu.
Sisi tuna Mv Bukoba tuliokoa maiti zoote zikiwa salama.Tukio km lile huwez lifananisha na la ferry jamaa ebu tuliza akili.
Licha ya watua kulipuka ila wapo waliookolewa na kupelekwa hospital.
Nambie kenya km ferry tangia zipate ajali mna records za 26 years back hadi sasa hakuna mihili mliwahi hata kuiopoa majini je tukio la moto mngeweza kuokoa??!!
Vipi buddah.!!!