Mkenya ashuhudia ubora wa idara za uokozi Tanzania. Akiri ingetokea Kenya asingekua hai.

Mkenya ashuhudia ubora wa idara za uokozi Tanzania. Akiri ingetokea Kenya asingekua hai.

Sisi tuna Mv Bukoba tuliokoa maiti zoote zikiwa salama.
Atleast ya MV bukoba wapo maiti walioopolewa.
Ndio maana nikasema atleast Tz miili huopolewa ila ninyi wakenya hamjawahi kuopoa hata miili yani mtu akizama ameshazama na kuliwa na chewa basi.
 
Atleast ya MV bukoba wapo maiti walioopolewa.
Ndio maana nikasema atleast Tz miili huopolewa ila ninyi wakenya hamjawahi kuopoa hata miili yani mtu akizama ameshazama na kuliwa na chewa basi.
Ficha ujinga,Wazamiaji walikuja kutoka South Afrika kuja kutusaidia
 
Maskini na maskini tunachekana!hivi mv spice ilikuwaje..?
 
Tukiweka ushabiki kando wa Kenya na Tanzania, ni wazi kwamba wakenya wengi wanaikubali sana Tanzania, hii inathibitishwa na jinsi wakenya wengi hasa wale wasomi wanavyoizungumza Tanzania katika mijadala mbalimbali huko kwao.

Katika mijadala mbalimbali katika TV, Redio au mijadala ya wazi, huwa wanaitumia Tanzania kama mfano mzuri wa kuigwa na Kenya katika utendaji wa Kazi.

Ninadhani hili ni jambo zuri, nikimaanisha kuiga mambo mazuri kwa jirani yako. Hongereni sana kwa wale wenye wivu wa maendeleo.

Does it mean you love watching Kenyan TV stations or how else would you have known unless you spend most of your time following us? Ni Kama mtoto mdogo akimshati mwenzake kuwa hakufunga macho wakati wa maombi, swali ni alijuaje mwenzake hakufumba macho?
 
We Kweli imhotep matope.
Kumbuka lile tukio limetokea suddenly na halifananii na hilo la ferry.
Na lile la moto watu kwa siku hyo hyo waliokolewa na waliofariki walizikwa.
Nambie ingekua Kenya kuna ht mtu angepona Kweli??!!
Licha ya hivyo inaelezewa ktk hiyo ktn kuwa kumbe serikali yenu ya kikenya ktk uokoaji ni butu kuna watu kumbe walizama na hawakupatikana hata mmoja huu si uzembe???
Ebu igezeni Tz yani kivuko kilipinduka kikainuliwa, watu waliokolewa na waliofariki kuopolewa ninyi 26 years back matukio km ya juzi yalitokea hamkuwahi kuopoa mwili hatta mmoja.
Huu uzembe kabbisa mna mengi ya kujifunza toka kwetu.
Katika hili ni upuuzi wa hali ya juu wamefanya,,, dakika 20 mtu anaelea watu hawamuokoi,, Tanzania angeokolewa
 
Does it mean you love watching Kenyan TV stations or how else would you have known unless you spend most of your time following us? Ni Kama mtoto mdogo akimshati mwenzake kuwa hakufunga macho wakati wa maombi, swali ni alijuaje mwenzake hakufumba macho?
Thank you for using Tanzania as an exemplary country.
 
Ficha ujinga,Wazamiaji walikuja kutoka South Afrika kuja kutusaidia
Usituletee upuuzi Tz sio kenya futa kauli na mm sio mtoto mdogo.
watu wameokolewa siku hiyo hiyo hao wazamiaji waliyeyuka kuja au???
 
Katika hili ni upuuzi wa hali ya juu wamefanya,,, dakika 20 mtu anaelea watu hawamuokoi,, Tanzania angeokolewa
Halafu kuna fala hapo juu anakwambia eti walikuja wapiga mbizi kutoka South Africa kutusaidia ilhali watu wameokolewa siku hiyo hiyo hao wazamiaji waliyeyuka kuja au???
 
Maskini na maskini tunachekana!hivi mv spice ilikuwaje..?
Wapo waliookolewa ila kenya 26 years back till now tangu maafa ya kuzama yanatokea hawajai kuopoa ht mwili mmoja yan mtu akizama kazama.
 
Usituletee upuuzi Tz sio kenya futa kauli na mm sio mtoto mdogo.
watu wameokolewa siku hiyo hiyo hao wazamiaji waliyeyuka kuja au???
Kweni maiti ngapi ziliokolewa niwekee link
 
Atleast ya MV bukoba wapo maiti walioopolewa.
Ndio maana nikasema atleast Tz miili huopolewa ila ninyi wakenya hamjawahi kuopoa hata miili yani mtu akizama ameshazama na kuliwa na chewa basi.
Wacha ushabiki wakijinga .
 
Uliisoma vema ile ajali???
Km uliisoma vema na kuitizama vema habar yake basi haina haja ya link.
Si huwa unajifanyaga Mtz we jamaa?
Nashangaa ht utz wako umeutolea wapi.
Kweni maiti ngapi ziliokolewa niwekee link
 
Back
Top Bottom