Wacha kupiga porojo weka link au hata video ya hao maiti waliopona kabla ya kuliwa na Chewa.Uliisoma vema ile ajali???
Km uliisoma vema na kuitizama vema habar yake basi haina haja ya link.
Si huwa unajifanyaga Mtz we jamaa?
Nashangaa ht utz wako umeutolea wapi.
Akiri?Uyu mkenya apimwe akiri
NIDA au kuna kwingine?!Si huwa unajifanyaga Mtz we jamaa?
Nashangaa ht utz wako umeutolea wapi
Wacha kupiga porojo weka link au hata video ya hao maiti waliopona kabla ya kuliwa na Chewa.
Mimi ni dead man Walking lakini mbona siwaoni hao Chewa.Maiti yako ww ndo italiwa na Chewa.
Basi ww si mtz.Wacha kupiga porojo weka link au hata video ya hao maiti waliopona kabla ya kuliwa na Chewa.
Kama una mashaka nenda NIDA kaulizie au kashitaki mimi naishi hapahapa Mtwapa.Basi ww si mtz.
Nina mashaka na ww ni Mkenya mzamiaji.
Maana Mtz huwez ijua Kenya kuizid Tz.
Hata mtwara huwezi itaja wasema mtwapa.Kama una mashaka nenda NIDA kaulizie au kashitaki mimi naishi hapahapa Mtwapa.
Nimeweza kuzamia kutoka MSA hadi Kigamboni bila ya kuliwa na Chewa.
Hata mtwara huwezi itaja wasema mtwapa.
Umetoa hongo NIDA ww mkenya kabisa.
Yani ht ajali ya MV Bukoba huijui vema.
Hii inaonesha dhwahiri ww sio Mtanzania ni Mkenya.Mtwapa
Mtwapa is a town located in Kenya's Kilifi County. The town is situated approximately 16 kilometres (9.9 mi) north-east of Mombasaon the Mombasa-Malindi road. The town is also the location of the Mombasa-Mtwapa matatu terminus. Mtwapa Creek is an Indian Ocean inlet at Mtwapa, which is the border between Mombasa and Mtwapa (connected through a bridge). Mtwapa Creek is a starting point for deep sea fishing tours. As a satellite town, it's part of the Mombasa metropolitan region.
Mtwapa
Mtwapa
Location of Mtwapa
Coordinates: 3°57′00″S 39°44′40″ECountryKenyaCountyKilifi CountyDivisionKikambala DivisionTime zoneUTC+3 (EAT)
View attachment 1224017[emoji7]
Mtwapa Beach Mombasa
Halafu nije nitoe Hongo NIDA?!...Wacha masikhara.
Wapi nimesema mimi ni ntu wa Ntwala?!!!
Ahsante hayo mahamri sasa kaka mkubwa ndio siyajui ila mbaazi ukiziunga na nazi ukachanganya na nyama kitu mwake.Kosugi Karibu Mahamri na Mbaazi.
Mimi niweke hata Rwanda ni nyumbani.Hii inaonesha dhwahiri ww sio Mtanzania ni Mkenya.
😂😂 ina maana nakutukana halafu unasema Asante hahahaaAhsante hayo mahamri sasa kaka mkubwa ndio siyajui
Duuuuh ahahahahhha sawa nanyoosha mikono am surrendering.Mimi niweke hata Rwanda ni nyumbani.
Kijana toka Nyumbani tafuta maishaDuuuuh ahahahahhha sawa nanyoosha mikono am surrendering.
UrakozeDuuuuh ahahahahhha sawa nanyoosha mikono am surrendering.
Sawa mkuu utupokee tukija huko Mtwapa.Kijana toka Nyumbani tafuta maisha
Asa mkuu sijui hivyo vitu na uliposema na mbaazi nikadhani chakula vyote.[emoji23][emoji23] ina maana nakutukana halafu unasema Asante hahahaa