pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kuna wengine wengi ambao wanafanya comedy ya aina hiyo, sio Propesa pekee yake.Now Propesa cant do comedy in peace, huyu jamaa ni ngombe tu
Kuna wengine wengi ambao wanafanya comedy ya aina hiyo, sio Propesa pekee yake.
Cc. kilam, joto la jiwe, jiburidisheni na hii pia.
Aisee, zote ni comedy kali kama ya Propesa. [emoji1]Jiburudishe na hii
Hahahaha, hahahaha.
Hawa Ni comedians bro...ama umeona muhindi ukachanganyika kiakili?
Hahahaha, Hahahaha.
Lakini sio wote wanajua Kiswahili, na mnajisikia vibaya mkiambiwa hamjui kiingereza, ila mkiambiwa hamjui Kiswahili mnadhani ni sawa tu.Hao wakenya gani wasiojua kiingereza? Kenya hadi Chokoraa wanaongea kiinglishi.
As far as road construction concerned,namuunga mkono.Jiburudishe na hii
Hahahaha, hahahaha.
Hapo kajiona Mzungu tayari
Usikute Nyumbani Kibera
Hahahaha
bora hata kingereza cha JOHN MAGUFULI , maana na yeye ni kama huyu mwanariadha
Umewahi kumsikia akiongea kingereza?Ndio maana manakamatwa, licha ya mzee Magufuli kuwa ni Rais wa nchi bora ana umri mkubwa kukuzidi. Nie watu huwa mnawaza nini kwenye vichwa vyenu?
Kuna wengine wengi ambao wanafanya comedy ya aina hiyo, sio Propesa pekee yake.
Cc. kilam, joto la jiwe, jiburidisheni na hii pia.