joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mjasiriamali wa kigeni apatikana na hatia ya kuwatapeli Wanyarwanda - BBC News Swahili
Mjasiriamali raia wa Kenya amefungwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kuwatapeli Wanyarwanda wengi vijana wasio na ajira
Tanzania iliona mbali sana kukataa kuingia katika mtego wa Kenya, kwasababu ni wazi kwamba ndani ya Kenya hapakaliki kwa hiyo serikali ya Kenya inajaribu kutafuta sehemu ili raia wa Kenya waende hivyo kupunguza wizi, ujambazi, ukabila, njaa na upungufu wa ajira vinavyoikabili Kenya kwa sasa.