Mkenya awatapeli na kuwaibia wanyarwanda, atupwa jela.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hili litakua ni fundisho kwa nchi za EAC zilizodanganyika na kukubali kuwaruhusu wakenya kuingia ktk nchi zao kwa kutumia IDs na kufanya Kazi kwa urahisi.

Tanzania iliona mbali sana kukataa kuingia katika mtego wa Kenya, kwasababu ni wazi kwamba ndani ya Kenya hapakaliki kwa hiyo serikali ya Kenya inajaribu kutafuta sehemu ili raia wa Kenya waende hivyo kupunguza wizi, ujambazi, ukabila, njaa na upungufu wa ajira vinavyoikabili Kenya kwa sasa.
 
Ametapeli kwasababu yeye ni tapeli sio kwasababu yeye ni mkenya.
 
Back
Top Bottom