pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Dah! Wakenya mwaka huu umekuwa ni wetu kwenye ulingo wa spoti. Yaani ni Kenya, Kenya, Kenya kila sehemu. Proud to be Kenyan! [emoji1139]
Baada ya wiki mbili za kupiga kura na ushindani kati ya wanariadha 32, kutoka kote duniani. 'Performance' ya David Rudisha, kwenye mbio za 800m London Olympics '012, ambapo alivunja rekodi ya dunia imetajwa na World Athletics kama 'Moment of the Decade' kwenye riadha. World Athletics | Rudisha’s 800m world record in London voted athletics moment of the decade| News Usindani kwenye fainali, baada ya mchujo wa wanariadha nane wa mwisho, ulikuwa kati ya wakenya wawili, David Rudisha Vs. Eliud Kipchoge. Ambaye 'moment' yake ilikuwa alipovunja rekodi ya dunia kwenye Berlin Marathon 2018. World Athletics's tweet - "After two weeks of voting our Moment of the Decade finalists are confirmed. Which moment stood out more? @EliudKipchoge's world record-breaking Berlin Marathon victory, or @rudishadavid's 800m world record at the London 2012 Olympics? 🗳 Vote on " - Trendsmap