NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Mbona Kiswahili chako sio cha Kenya kabisa? Mtanzania wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh, fafanua Mzee JoseroUnaweza ukasoma sana ila usipojuwa "maisha ni mchezo" hutafika mbali, utaangushwa na mtu asiyejua hata kuandika.
Vipi, wewe umeishajiunga nao? Umeisha pasua nazi njia panda usiku ukiwa uchi? Hebu tupe ushuhuda wako hapa.Watu wanapiga madili kwa kutumia ushirikina wa hali ya juu! Ukiwaona hutadhani kwani wanapasua sala kwa kwenda mbele. Wewe na usomi wako unaogopa kwenda njia panda usiku wa manane kupasua nazi. My friend! Uwe makini unapofanya biashara!
one more thing I hate about kenyansKiswahili cha Kitanzania hiki. Watanzania wacheni kujifanya kwamba nyinyi ni Wakenya. Kiswahili cha Kenya tunakijua. Hata Mtanzania akija Kenya na kufungua mdomo kuongea, baada ya sentensi moja huwa tunajua yeye ni Mtanzania.
githurai wapi haswa? sasa funds za relocation itakua balaa kwa sasa. the problem ni hili swala la mapepo. nadharau kuanza from cratch all the fuckin time, KWA SABABU YA MTU!jaribu kuweka biashara Githurai, customer ni wengiii.
githurai wapi haswa? sasa funds za relocation itakua balaa kwa sasa. the problem ni hili swala la mapepo. nadharau kuanza from cratch all the fuckin time, KWA SABABU YA MTU!
sasa naonelea nitafte hela, nijenge body niende FFL
Nishawai posti hapa kutafuta ushauri wa kuondoa uchawi
Hivi juzi baada ya mimi kudhani mambo yangu yanaenda shwari, nimefungua duka la branding, nikalipa miezi sita na kuleta machines kadhaa, sasa baada ya kutumia sarafu zangu zote nikaanza kazi ningojee matokeo, nirefeshe mtaji, washenzi wamenirudia, sasa wanataka kuniangusha jindi walivyojaribu awali, ingawa wakati huo sikuwa na chochote.
Nahisi kuudhika pakubwa, ila njama zote za kichawi zinatumika kujaribu kunilazimu nitoke huku, hata sasa kazi imepungua kwani hata jina linaharibiwa kimakusudi. Mie naona sasa dawa nikuje tz nianze upya, lakini wajinga hawa wapate adabu mpaka waangamie. Ni kazi zipi mkenya yuaweza akazifanya huko, hapa mimi nishafanya sales za mikopo, I'm a graduate. pia kuna vitaa flani mimi hutengeneza, sijui kama vipo huko, I'll attach a video mvione.
I'm seeking guidance into tz life, and lile jiji nzuri la kuanzia. sijawai ona watu walio wivu kiwango hiki, jamani jua wakenya ni watu useless. usishangae hawaendelei ikiwa vijana wanaangamizwa na kurudishwa nyuma hivi. a r gh
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala KENYA.
nipeni mawaidha ya huko. pia nataka nipate waganga mashuhuri wa huko, wanifanyie kisasi. This should not be allowed to happen, bila consequences.
Piga kula mkuu!:sasa weweee.....
umepagawa?
umezoea wakenya kukichanganya na kizungu/sheng, ndio maana. kiswahili ni kimojaMbona Kiswahili chako sio cha Kenya kabisa? Mtanzania wewe.
Kiswahili sii kimoja. Kuna lahaja tofauti. Naweza ongea Kiswahili sanifu lakini lahaja ya Kenya itafanya ujue nimetokea Kenya. k.m, Bibi kwenu ni grandmother, kwetu ni wife. Kwetu grandmother ni nyanya na yote ni sanifu na yako hadi kwenye kamusi. Acheni kujiona Kiswahili chenu ndio bora.umezoea wakenya kukichanganya na kizungu/sheng, ndio maana. kiswahili ni kimoja
mwambie tenaBongo ndio hatari